Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

dah ni nzur saana iyo idea but nahisi kulipa ni baada ya muda mrefu
Hana maana ujenge na upangishe. Unajenga vizuri unauza. Ukishauza unatafuta kiwanja kingine kizuri, unajenga halafu unauza. ... Ushauri mzuri ila si kwamtaji huo, inahitajika pesa X3 au zaidi ya hiyo.
 
fungua duka la vitu vya jumla soda bia unga wa ugali na ngano na vikookoro vidogo vidogo inaweza ikachukua kama milion 5 nyingine weka benk maisha yanakwenda
Hii biashara inahitaji mtaji mkubwa hata zaid ya 15m ingawa unaweza kuanzia hiyo ila sii chini ya hapo
 
Matapeli mnajua kujibrand aisee


Ok
 
Najenga nyumba now, kuifikisha kwenye lenta ni 5.3M
Hapo ni nyumba ya vyumba 3, 2 self contained. Jiko, stoo, public toilet, sitting room.
Na ni Dar es salaam.

Labda kama mshamba upate mafundi wakugonge
Sema unajenga kijumba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…