Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana unakuwa bilionaire, Mwamposa ni bilionaire.Ukijiwekeza kwenye biashara ya masuala ya kiroho(uchungaji) nadhani itakua biashara nzuri ya kukufanya uwe milionea.
Matibabu na madawa pia, teknolojia ya mawasiliano pia, huduma za ushafirishaji na vyombo vya usafirishaji.•Kilimo na Ufugaji.
•Madini.
•Mafuta na Gas!!.
Real estateHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
ZIpo nyingi tu mkuuHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
Asante kwa ushauri, tupo pamoja ndugu🥳Biashara yoyote utakayo weza kuifanya na serikali ya JMT unaweza kuwa billioneir.
Ukiweza kupenya ukapata tender kubwa za serikali umeula, achana na hizi za manispaa, tafuta za serikali kuu au mawizara.
Mfano tu, Ukiweza, narudia ukiweza ingia kwenye military tender board meetings, huko utakutana na billioneirs, jichanganye huko, fanya juu chini hata ukipata shared tender ukaifanikisha, ni mwanzo mzuri.
Hizi biashara za uchuuzi utachelewa, wewe deal na serikali up and down, tight and left.
Ukipata nikumbuke, nitakuwa hapa nangoja our next billioneir in town unipe beer moja ya kujipongeza.
Siasa na diniHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏