Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Don mmoja ana mkwanja sio poa. Biashara zake ni hizo, ana godown 8 hapa townBiashara yoyote utakayo weza kuifanya na serikali ya JMT unaweza kuwa billioneir.
Ukiweza kupenya ukapata tender kubwa za serikali umeula, achana na hizi za manispaa, tafuta za serikali kuu au mawizara.
Mfano tu, Ukiweza, narudia ukiweza ingia kwenye military tender board meetings, huko utakutana na billioneirs, jichanganye huko, fanya juu chini hata ukipata shared tender ukaifanikisha, ni mwanzo mzuri.
Hizi biashara za uchuuzi utachelewa, wewe deal na serikali up and down, right and left.
Ukipata nikumbuke, nitakuwa hapa nangoja our next billioneir in town unipe beer moja ya kujipongeza.
Tender za Serikali kuzipata shida, lakini ukizipata si haba. Tafuta hata ya kulisha wanafunzi vyuoni, tutakujua tu mjini hapa, pesa ndio inajenga Sir names mjini humu.Kuna Don mmoja ana mkwanja sio poa. Biashara zake ni hizo, ana godown 8 hapa town