Mpangilio aliokupa 26 Life upo vizuri. Hayo yote ya chini na mengineyo utapambana na TRA, TFDA,OSHA, LATRA,SUMATRA, N.K
Kwenye kilimo serikali za kiafrika bado mfumo wa kodi katika ngazi ya kijiji ni duni au hauko. wanafuatilia pareto kahawa,ufuta,korosho, pamba.
Yaani mkulima anaweza kuuza zao lake cash shambani hata 2m au 10m cash na kuendelea hakuna TRA,au hao wengineo niloowataja hapo.
We fikiria una ekari 10 za papai, ekari moja miche 600 - 800 kutokana na upandaji. Kila mchumo mti mmoja u unachuma 3 Shamba kule weka tu @ 500/= . Sasa kuwa milionea hapo ni miaka 2 tu kuwa bill sasa ili usichukue muda mrefu yaani miaka mingi ongeza ekari au lima kitu kingine ambacho kina soko lakini unachuma muda mrefu kama pesheni au makakara unakuwa Bill chini ya miaka 5. Na zote cash mfukoni pale pale shamba hskuna cha TRA
Tatizo kilimo kiwe cha umwagiliaji. Yaani kiangazi una maji masika mvua kama kawa.