Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

Watu wengi hufanya biashara za uchuuzi kutoboa ni kazi, lakini ukiweza kua NI mzalishaji mkubwa wa bidhaa fulani na ikahitajika umetoboa , wengi hufikiri achukue mahindi point A akauze point B akili huishia hapo
 
Mleta mada anatafuta mawazo, mpe insight yako kuhusu afanyeje awe billioneir.

Wahindi wengi wametajirika kwa kufanya biashara na serikali moja kwa moja, mfano, kununua magari, kuagiza vipuri kwa niaba ya serikali, kujenga matanki ya maji au miradi inayotangazwa na serikali kwa njia ya tender.
 
Ili uwe millionaire au billionaire it takes years and years ila ukitaka kulala na kuamka fanya mishe za kutake risk, usiwe na moyo mdogo.
-Black market.
-(Human trafficking)Kusafirsha wasomali.
-Betting odd moja weka 50m
-Forex

Lakini hivyo vyote hapo juu bila kuwa safi kiroho ni kazi bure utapuyanga hadi ukome. Kila siku kesi wewe, hasara wewe n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…