implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Biashara yoyoteHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
Unabii wa mchongo lakiniUnabii au kuuza sembe
NdiyoUnabii wa mchongo lakini
Biashara ya kirohoHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
Tz hamna billionaireHumu hakuna billionaire ata mmoja ko utalishwa matango pori tu! ok mi nakushauri Anza na kuuza mandazi kama bakhresa utakuja kunishukuru!?
Naongea kwa experience mkuuAisee!
Tz hamna billionaire
$1bil tz hamna nitakuwa wa mwisho kuamini tz hiiBilionare wa madafu wapo wengi tu ila billionare wa dola wachache au kadhaa
Wapp wachache$1bil tz hamna nitakuwa wa mwisho kuamini tz hii
Biashara ya Kanisa la kiroho na miujiza ya mchongo-koHabari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
$1bil is equivalent to 2.5trion kama sikoseiWapp wachache
Samahani mkuu je umeufuata huu ushauri wako? Na we ni milionea?Mpangilio aliokupa 26 Life upo vizuri. Hayo yote ya chini na mengineyo utapambana na TRA, TFDA,OSHA, LATRA,SUMATRA, N.K
Kwenye kilimo serikali za kiafrika bado mfumo wa kodi katika ngazi ya kijiji ni duni au hauko. wanafuatilia pareto kahawa,ufuta,korosho, pamba.
Yaani mkulima anaweza kuuza zao lake cash shambani hata 2m au 10m cash na kuendelea hakuna TRA,au hao wengineo niloowataja hapo.
We fikiria una ekari 10 za papai, ekari moja miche 600 - 800 kutokana na upandaji. Kila mchumo mti mmoja u unachuma 3 Shamba kule weka tu @ 500/= . Sasa kuwa milionea hapo ni miaka 2 tu kuwa bill sasa ili usichukue muda mrefu yaani miaka mingi ongeza ekari au lima kitu kingine ambacho kina soko lakini unachuma muda mrefu kama pesheni au makakara unakuwa Bill chini ya miaka 5. Na zote cash mfukoni pale pale shamba hskuna cha TRA
Tatizo kilimo kiwe cha umwagiliaji. Yaani kiangazi una maji masika mvua kama kawa.
Nilitegemea swali hilo. Milioni nihela inayopatikana na wakulima na raia wengi tu mbona. Millioni hata pikipiki TVS ni 2m watu wanazo kibao !!Samahani mkuu je umeufuata huu ushauri wako? Na we ni milionea?