Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

Deal Za uvuvi ziwani huko utapiga hela sana mwaka ukiwa mzuri, na serikali haikani sana huko
 
Kuna Don mmoja ana mkwanja sio poa. Biashara zake ni hizo, ana godown 8 hapa town
 
Kuna Don mmoja ana mkwanja sio poa. Biashara zake ni hizo, ana godown 8 hapa town
Tender za Serikali kuzipata shida, lakini ukizipata si haba. Tafuta hata ya kulisha wanafunzi vyuoni, tutakujua tu mjini hapa, pesa ndio inajenga Sir names mjini humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…