Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba unaingiza with zeto tax, hahaa hazina VAT pekee, ila kodi na tozo zingine ziko pape paleMaana kuna mahala niliskia kwamba bidhaa za kilimo nadhan zina misamaha ya kodi.
Sasa sijaelewa ni kodi zipi
Una uhakika mkuu? Maofisa wa TRA waliopo posta wanachaji mzigo unaoanzia USD 50. Au ulilipia Ile fee ya posta ? Mimi nimekua nikiagiza Sana. Posta ndio wanachaji fee kidogo kulingana na mzigo ila mzigo ukija speedaf ni free kabisa yaani pesa uliyoona mtandao ukanunua plus usafiri hapo ndio mwisho hakuna any cost...Itategemea na mtu wa TRA.
Mimi kuna kitu nilinunua kwa USD 6.5 nikatozwa kodi ya Tshs. 4,869.22.
Yaani watu wa Posta walimshamgaa yule mdada wa TRA kung'ang'ania kutoza kodi.
Uko sahihi.Sio kwamba unaingiza with zeto tax, hahaa hazina VAT pekee, ila kodi na tozo zingine ziko pape pale
Niongee uongo ili iweje?Una uhakika mkuu? Maofisa wa TRA waliopo posta wanachaji mzigo unaoanzia USD 50. Au ulilipia Ile fee ya posta ? Mimi nimekua nikiagiza Sana. Posta ndio wanachaji fee kidogo kulingana na mzigo ila mzigo ukija speedaf ni free kabisa yaani pesa uliyoona mtandao ukanunua plus usafiri hapo ndio mwisho hakuna any cost...
kwa nini iko hv nimejiuliza mara kadhaa kwenye hili maana nilipokea mizigo miwili mmoja ukapita posta mwingine speedaf lkn posta nilitozwa kiasi cha pesa!!mzigo ukija speedaf ni free kabisa
Kwa Posta kuna baadhi ya TRACKING NUMBER lazima ulipie gharama za Posta, wataalam watakwambia namba zinazoanzia na herufi fulani unatakiwa kulipia na herufi fulani ni burekwa nini iko hv nimejiuliza mara kadhaa kwenye hili maana nilipokea mizigo miwili mmoja ukapita posta mwingine speedaf lkn posta nilitozwa kiasi cha pesa!!
Nilishawai kuingiza kifaa cha milioni 12 pale posta ila tra wakajua ni tablet kumbe kifaa cha kufungulia vifaa magari.Itategemea na mtu wa TRA.
Mimi kuna kitu nilinunua kwa USD 6.5 nikatozwa kodi ya Tshs. 4,869.22.
Yaani watu wa Posta walimshamgaa yule mdada wa TRA kung'ang'ania kutoza kodi.
Lkn pia nahisi baadhi ya suppliers unatona shipping zao kama ni seedaf au nyingine ambayo inapita local postalKwa Posta kuna baadhi ya TRACKING NUMBER lazima ulipie gharama za Posta, wataalam watakwambia namba zinazoanzia na herufi fulani unatakiwa kulipia na herufi fulani ni bure
Speedaf kuna bidhaa uwa zinatozwa kodi na TRA, kuna thread humu member mmoja alisema.Lkn pia nahisi baadhi ya suppliers unatona shipping zao kama ni seedaf au nyingine ambayo inapita local postal
Ila Tax kla bidhaa inayoingia nchin lazma ilipiwe tax na kla bidhaa unayonunua toka nje ina tax
Duuh..hicho kitu sijawahi kutana nacho...nimeagiza nakupokea biadhaa posta hata Mara 15 inafika ...lakini TRA hawajawahi nitoza Kodi na hata watu naokuwa nao kwenye foleni hawajawahi tozwa..TRA wanafungua na kuona wanakupa unasepa ..ni mzigo mmoja tu nilinunua Dola 65 ndio nililipa Kodi...Niongee uongo ili iweje?
Fee ya Posta nililipa nadhani kwenye shs. 5,700
Yaani wale wafanyakazi wa Posta waliokuwepo walishangaa sana.