Ni bidhaa gani ukiingiza Tanzania kutoka nje hazina kodi?

Ni bidhaa gani ukiingiza Tanzania kutoka nje hazina kodi?

Lord-N

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
211
Reaction score
580
Wakuu naomba tujuzane hapa.. kama kuna mtu anajua chochote.

Iwe ni bidhaa za sekta gani ambazo ukiingiza Tanzania kutoka Europe hazina utitiri wa kodi.

Nawasilisha
 
Itategemea na mtu wa TRA.

Mimi kuna kitu nilinunua kwa USD 6.5 nikatozwa kodi ya Tshs. 4,869.22.

Yaani watu wa Posta walimshamgaa yule mdada wa TRA kung'ang'ania kutoza kodi.
Una uhakika mkuu? Maofisa wa TRA waliopo posta wanachaji mzigo unaoanzia USD 50. Au ulilipia Ile fee ya posta ? Mimi nimekua nikiagiza Sana. Posta ndio wanachaji fee kidogo kulingana na mzigo ila mzigo ukija speedaf ni free kabisa yaani pesa uliyoona mtandao ukanunua plus usafiri hapo ndio mwisho hakuna any cost...
 
Sio kwamba unaingiza with zeto tax, hahaa hazina VAT pekee, ila kodi na tozo zingine ziko pape pale
Uko sahihi.

Ngoja nimuwekee mchanganuo wa kodi wa kitu cha dola 6.50 nilichonunua walivyotoza kodi nikawalipa 4 869.22.

Kwake kwenye mahesabu anaweza akaondoa VAT

IMG-20230302-WA0017.jpg
 
Una uhakika mkuu? Maofisa wa TRA waliopo posta wanachaji mzigo unaoanzia USD 50. Au ulilipia Ile fee ya posta ? Mimi nimekua nikiagiza Sana. Posta ndio wanachaji fee kidogo kulingana na mzigo ila mzigo ukija speedaf ni free kabisa yaani pesa uliyoona mtandao ukanunua plus usafiri hapo ndio mwisho hakuna any cost...
Niongee uongo ili iweje?

Fee ya Posta nililipa nadhani kwenye shs. 5,700

Yaani wale wafanyakazi wa Posta waliokuwepo walishangaa sana.
 
kwa nini iko hv nimejiuliza mara kadhaa kwenye hili maana nilipokea mizigo miwili mmoja ukapita posta mwingine speedaf lkn posta nilitozwa kiasi cha pesa!!
Kwa Posta kuna baadhi ya TRACKING NUMBER lazima ulipie gharama za Posta, wataalam watakwambia namba zinazoanzia na herufi fulani unatakiwa kulipia na herufi fulani ni bure
 
Itategemea na mtu wa TRA.

Mimi kuna kitu nilinunua kwa USD 6.5 nikatozwa kodi ya Tshs. 4,869.22.

Yaani watu wa Posta walimshamgaa yule mdada wa TRA kung'ang'ania kutoza kodi.
Nilishawai kuingiza kifaa cha milioni 12 pale posta ila tra wakajua ni tablet kumbe kifaa cha kufungulia vifaa magari.
Wakanitoza elfu 50000.
Wakurupukaji mda mwengine
 
Kwa Posta kuna baadhi ya TRACKING NUMBER lazima ulipie gharama za Posta, wataalam watakwambia namba zinazoanzia na herufi fulani unatakiwa kulipia na herufi fulani ni bure
Lkn pia nahisi baadhi ya suppliers unatona shipping zao kama ni seedaf au nyingine ambayo inapita local postal
 
Niongee uongo ili iweje?

Fee ya Posta nililipa nadhani kwenye shs. 5,700

Yaani wale wafanyakazi wa Posta waliokuwepo walishangaa sana.
Duuh..hicho kitu sijawahi kutana nacho...nimeagiza nakupokea biadhaa posta hata Mara 15 inafika ...lakini TRA hawajawahi nitoza Kodi na hata watu naokuwa nao kwenye foleni hawajawahi tozwa..TRA wanafungua na kuona wanakupa unasepa ..ni mzigo mmoja tu nilinunua Dola 65 ndio nililipa Kodi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom