Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Iko vizuri mkuu.Mtaji ndio shìda hapo ila inawezekana.
1. Petrol station jijini dar es salaam, uhakika wa kuuza zaidi ya lita 1000 upo
2.Huduma ya daladala, Ukiwa na daladala 6 au 7 zile kubwa uhakika wa kupata watu 1000 kwa siku ni mkubwa.
5. Fungua mabucha 10 ya nyama na samaki sehemu tofauti tofauti jijini dar es salaam ,uhakika wa kila bucha kuuza zaidi ya kilo 100 upo
Usambazaji na uuzaji wa maziwa kwenye hotel na watu binafsi
Unataka faida ya 1M kwasiku 😂Iko vizuri mkuu.
Je kwa watu wenye mitaji midogo kuanzia M2 wanaweza kutoa huduma gani ambayo ni ya bei rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu nataka faida 1M kwa siku.Unataka faida ya 1M kwasiku [emoji23]
Ungeanza kutafuta hao watu 1000 alafu ndio uangalie utawauzia nini, watu 1000 wapo pale
[emoji23]Nimeshtuka ila ngoja nkae apa tu
[emoji15][emoji15] ugoro tena.Nende temeke sudani katege maeneo yale mkuu ufungue chimbo la ugoro utauza na utavuka malengo
Ice cream uuze 1000labda ice cream(barafu) uuze kwenye mashule ya msingi, tena shule ziwe 10 na zaidi
Kupata idadi anayoitaka nafikiri hapo Sudan wauza vifaa vya magari, wapita njia nk wote watashika kichwa kushangaa hiyo idadi maana kila lisaa limoja duka linabidi liwe na wateja kama 100 Duka litageuka Nida.Nende temeke sudani katege maeneo yale mkuu ufungue chimbo la ugoro utauza na utavuka malengo
Ni Chakula tu,Mfano Chai,Maziwa,Uji,Chips.N.KHabari wanabodi.
Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? garama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini.
Karibuni kwa michango yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai 1000 wewe unanunua??Ni Chakula tu,Mfano Chai,Maziwa,Uji,Chips.N.K
Mkuu, kikombe cha chai ni 500,mandazi 500.Watu wanakunywa mbona.Au we unakunywaga chai ya 10000?Chai 1000 wewe unanunua??
Ujaelewa anachotaka mtoa mada, 500 maandazi 5 kwa mantiki hiyo inabidi utengeneze maandani 500,000 kwasiku, Chai ya 500 hakuna tukifanya ipo hiyo chai inabidi ujaze kwenye pipa kwasiku.Mkuu,Kikombe cha chai ni 500,mandazi 500.Watu wanakunywa mbona.Au we unakunywaga chai ya 10000?