Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

Nunua mizinga ya kvant 500
Uhakika nenda stend yoyote bara iwe arusha, dar,moshi
Pima toti nahakika kunywesha watu 1000 kwa siku haishindikani
Tawanya mzigo huto juta
 
Itabidi uuze kila kitu kuanzia Katanga,nyembe,vocha,sindano,pipi,JoJo,ky, matikiti bila kisahau koroshow
 
nyingi tu..sigara.mayai,ice cream welding sticks ,,bia sub deport,soda,chakula mishikaki ,chips pipi mihogo..
 
Nunua mizinga ya kvant 500
Uhakika nenda stend yoyote bara iwe arusha, dar,moshi
Pima toti nahakika kunywesha watu 1000 kwa siku haishindikani
Tawanya mzigo huto juta
Maana yake kila dakika awe anauzia watu wawili ndani ya masaa 10 kwa siku, huyo muuzaji hapumziki, haondoki hata kwenda kula au chooni. hizo hesabu zako ni za vitabuni
 
Maana yake kila dakika awe anauzia watu wawili ndani ya masaa 10 kwa siku, huyo muuzaji hapumziki, haondoki hata kwenda kula au chooni. hizo hesabu zako ni za vitabuni
Umelewa jilivyosema atawanye mzigo
Awe na mawakala pia
 
Haha acha hizo hesabu za abunuasi, biashara haipo hivyo. Hakuna kutajirika kwa haraka kama unavyofikiria. Pili the higher the risk the greater the return. Sasa wewe una tuMillion 2 unataka utengeneza pesa sawa na Mtu aliyeweka Million 800 kwenye biashara..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usijidanganye
Akili kidogoo. Kutajirika ni numbers tu inakuchukua sehem ndogo tu ni ideas mtaji wa mtu haujalishi issue idea yako unaifanyia kazi kwa kiwango gani. Think beyond the box always[emoji3447]
 
Napiga supu ya pweza hapa kwa mwana.Nikicheki huu mzigo wa kachori, dagaa kamba, vipande vya pweza na ngizi, ni more than 1,000 in number mkuu!!!!!!!!!!!

Kachori 100 tsh.

Dagaa kamba, kipande cha ngisi na pweza vinaanzia 200 tsh, japo kuna mpaka 1,000 ths na kuendelea.

Its possible kabisaaaa mkuuuuu!!!!
 
Ujaelea suala sio kuuza vitu 1000 tu uuze vitu 1000 ambavyo kila kimoja kinakupa faida ya 1000 ndio mtoa mada amemaaanisha hivyo sio kachori 100...
 
Habari wanabodi.

Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? garama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini.

Karibuni kwa michango yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi wakati niko chuo nilikua natembea na begi mgongoni limejaa viroba,huku nina kete kadhaa za ganja,hadi kufikia jioni mzigo umekata,wateja wangu walikua wabantu sio mabitozi wabinua midomo na walamba lipsi,sema masomo yalikua yanazuia kufanya kaz kwa bidii.
 
Kuna mshikaji alikuwa pusha wa hizo mambo, wakati tunasoma Advance pale Sengerema Boys.
 
Ujaelea suala sio kuuza vitu 1000 tu uuze vitu 1000 ambavyo kila kimoja kinakupa faida ya 1000 ndio mtoa mada amemaaanisha hivyo sio kachori 100...
Basi hapo unajiona bonge la STELINGI [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783].

Alvin Slain
 
Labda kuuza juice mfano tendeshake, sotojo ambazo zinaanzia kati ya 1,000, 1,500 na 2,000. Lkn kwenye maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi kama kibraten ( kariakoo usiku), vyuoni na sehemu zingine

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom