Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina mo na bakhresa wanaweza kwa sababu wameajiri watu wengi wa masoko,wana magari ya kusambaza bidhaa zao.Swali kwako mtoa mada...
Una uwezo wa kutengeneza bidhaa 1000 kwa siku?
Na ni bidhaa ganii.tuanzie hapo.
Maana kama mtaji wako ni 2m...gawanya kwa 1000
Unapata 2000..
Hakikisha hyo elfu mbili itacover
Production cost
Supply (transport,wachuuzi, etc)
Vifungashio etc
Marketing(ili wateja waijue bidhaa lazima waifaham)
Upate hao wateja 1000 kwa siku uhakikishe kila m1 ananunua bidhaa..hapa ndo kaz ilipo...ingawa ukitengeneza strategy au plan ,u can at some point.
Ila lazima hko kitu kiwe na demand kwelkwel
Wenye viwanda vya maji.juice etc ndo wanacheza ma namba hzo.sabab kila binadamu lazima ushikwe kiu..ndomana unaona product za vimiminika zimejaa..ndo kina mo na bakheresa wanacheza huko
Ndio maana nilisema anahitaji Kwanza hao watu 1000 waliokaa pamoja then ndio atafute cha kuwauzia.Wakina mo na bakhresa wanaweza kwa sababu wameajiri watu wengi wa masoko,wana magari ya kusambaza bidhaa zao.
Tena hizo ni chache kama ukibase na shule zaidi ya tatu au nneIce cream uuze 1000
Ujaelewa hiyo 1000 ni pesa sio idadi.Tena hizo ni chache kama ukibase na shule zaidi ya tatu au nne
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Chai 1000 wewe unanunua??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimebaki nacheka tu.
Ulipitia kwa wale wahamasishaji wa ujasiliamali
Mkuu kwa ufafanuzi doffi ni kitu gani?Uza doffi ila weka vijana kumi
Ubungo
Manzese
Buguruni
Kkoo
Mbagala
Goms
N k
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha acha hizo hesabu za abunuasi, biashara haipo hivyo. Hakuna kutajirika kwa haraka kama unavyofikiria. Pili the higher the risk the greater the return. Sasa wewe una tuMillion 2 unataka utengeneza pesa sawa na Mtu aliyeweka Million 800 kwenye biashara..Habari wanabodi.
Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? garama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini.
Karibuni kwa michango yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu zinapangika vizuri tu mkuu.Haha acha hizo hesabu za abunuasi, biashara haipo hivyo. Hakuna kutajirika kwa haraka kama unavyofikiria. Pili the higher the risk the greater the return. Sasa wewe una tuMillion 2 unataka utengeneza pesa sawa na Mtu aliyeweka Million 800 kwenye biashara..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usijidanganye
Sorry, ivi ugoro unaesabika kwenye madawa ya kulevya pia??Nende temeke sudani katege maeneo yale mkuu ufungue chimbo la ugoro utauza na utavuka malengo