Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

hili swali kila siku ya mungu hua najiuliza,
kila siku nkipita ferry naona watu zaidi ya milioni moja bado nawaza ni kitu gan ambacho hakipo ila nkikileta kila mtu atakipata kwa bei ya kawaida sana na hatojuta kutoa hiyo pesa kukipata kiasi atageuza routine kukipata!.. angalau watu 1000 tu wakinunue!.. au watu 500 wanunue wastani wa viwili, kwa bei ya mtanzania!..

najaribu kutumia philosophy (by asking what,how,which,n.k .

Asanteni!
 
Una mtaji ila haujajua bidhaa gani uiweke?
 
Back
Top Bottom