Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Hapana mkuu Ugoro upo kwenye kundi la tiba lisheSorry, ivi ugoro unaesabika kwenye madawa ya kulevya pia??
Maana yake kila dakika awe anauzia watu wawili ndani ya masaa 10 kwa siku, huyo muuzaji hapumziki, haondoki hata kwenda kula au chooni. hizo hesabu zako ni za vitabuniNunua mizinga ya kvant 500
Uhakika nenda stend yoyote bara iwe arusha, dar,moshi
Pima toti nahakika kunywesha watu 1000 kwa siku haishindikani
Tawanya mzigo huto juta
Umelewa jilivyosema atawanye mzigoMaana yake kila dakika awe anauzia watu wawili ndani ya masaa 10 kwa siku, huyo muuzaji hapumziki, haondoki hata kwenda kula au chooni. hizo hesabu zako ni za vitabuni
Kuwa na wakala kuna risk zake anaweza kunywa yote ukamtuta kalegea anakwambia imemwagika, pia mleta mada lengo lake auze mwenyeweUmelewa jilivyosema atawanye mzigo
Awe na mawakala pia
This idea is real na inafanya kazi. The hidden business in townUjaelewa hiyo 1000 ni pesa sio idadi.
Ice cream moja uuze 1000 Tzs
Soma uzi unataka nini vitu unavyouza idadi kubwa vipo vingi tu ila utauza 100-200 Tzs
Akili kidogoo. Kutajirika ni numbers tu inakuchukua sehem ndogo tu ni ideas mtaji wa mtu haujalishi issue idea yako unaifanyia kazi kwa kiwango gani. Think beyond the box always[emoji3447]Haha acha hizo hesabu za abunuasi, biashara haipo hivyo. Hakuna kutajirika kwa haraka kama unavyofikiria. Pili the higher the risk the greater the return. Sasa wewe una tuMillion 2 unataka utengeneza pesa sawa na Mtu aliyeweka Million 800 kwenye biashara..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usijidanganye
Ujaelea suala sio kuuza vitu 1000 tu uuze vitu 1000 ambavyo kila kimoja kinakupa faida ya 1000 ndio mtoa mada amemaaanisha hivyo sio kachori 100...Napiga supu ya pweza hapa kwa mwana.Nikicheki huu mzigo wa kachori, dagaa kamba, vipande vya pweza na ngizi, ni more than 1,000 in number mkuu!!!!!!!!!!!
Kachori 100 tsh.
Dagaa kamba, kipande cha ngisi na pweza vinaanzia 200 tsh, japo kuna mpaka 1,000 ths na kuendelea.
Its possible kabisaaaa mkuuuuu!!!!
Kuna kipindi wakati niko chuo nilikua natembea na begi mgongoni limejaa viroba,huku nina kete kadhaa za ganja,hadi kufikia jioni mzigo umekata,wateja wangu walikua wabantu sio mabitozi wabinua midomo na walamba lipsi,sema masomo yalikua yanazuia kufanya kaz kwa bidii.Habari wanabodi.
Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? garama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini.
Karibuni kwa michango yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mshikaji alikuwa pusha wa hizo mambo, wakati tunasoma Advance pale Sengerema Boys.Kuna kipindi wakati niko chuo nilikua natembea na begi mgongoni limejaa viroba,huku nina kete kadhaa za ganja,hadi kufikia jioni mzigo umekata,wateja wangu walikua wabantu sio mabitozi wabinua midomo na walamba lipsi,sema masomo yalikua yanazuia kufanya kaz kwa bidii.
Basi hapo unajiona bonge la STELINGI [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783].Ujaelea suala sio kuuza vitu 1000 tu uuze vitu 1000 ambavyo kila kimoja kinakupa faida ya 1000 ndio mtoa mada amemaaanisha hivyo sio kachori 100...
Wacha makasiriko kijanaBasi hapo unajiona bonge la STELINGI [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783].
Alvin Slain
doffi ni kitu gani?Uza doffi ila weka vijana kumi
Ubungo
Manzese
Buguruni
Kkoo
Mbagala
Goms
N k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Sabuni za unga zinauzwa buku. Tangazo lake huwa yupo Vanessa Mdee. Zimeenea kila kona kwa hapa Dsm.doffi ni kitu gani?