Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hii CHF si ile haiko mjini auBinafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida zipi?
Binasi pamoja na Changamoto zote bado ntamshauri mtu ajiunge na NHIF iwe ya standard ,supplementary au VIFURUSHI kwa sababu zifuatazo -
1. Inapatikana Nchi nzima
2. Haina kiwango na ukomo wa matibabu kwa siku
3. Ina huduma zote muhimu kama kumwona daktari, vipimo, upasuaji na madawa muhimu yote.
Wewe je una uzoefu na ushauri upi?
Sio kweliNSSF & NHIF unaruhusiwa kumwona daktari mmoja kwa siku, labda kama ni issue ya emergency.
Kwa sababu zipi ?CHF & NHIF ❌❌❌
CHF coverage ndogoKwa sababu zipi ?
Nhif wana portal yao ambapo ukiomba authorization moja, ndio hiyo hiyo ndani ya masaa 24 huwezi kupata kibali kingine labda iwe emergence case.Sio kweli
Wanakataje hiyo ?STRATEGIES, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million na laki Tano kama fedha ya kujikimu. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
Inategemea na kifurushi chako, lakini Cha chini kabisa ni laki nne kwa mwezi, hiki unatibiwa hospital yoyote na dawa unapewa lakini kulazwa huruhusiwi.Wanakataje hiyo ?
NHIF sasa hivi hawalipi hela ya kumuona daktari mmoja mmoja wanalipa hela ya Matibabu kwa siku hiyo uliyokwenda kutibiwa ,ukifika hospitalini ukaona Daktari mmoja au watatu wao wanalipa hela ya Daktari mmoja wakiwa wanamaana wanalipa Visit ya siku hiyo sio hela ya Daktari .Nhif wana portal yao ambapo ukiomba authorization moja, ndio hiyo hiyo ndani ya masaa 24 huwezi kupata kibali kingine labda iwe emergence case.
Nssf hawana utaratibu wa system lkn nao taratibu zao zipo hivyo, pia nssf unaruhusiwa kupata matibabu ndani ya hospitali moja tu ambayo utakuwa umechagua mwenyewe na ikitokea unataka kutibiwa sehemu tofauti lazima ukaombe kibali kwao.
Mimi ni mtumiaji wa hizi bima mbili kwa mda mrefu
Nhif unatumia hospital moja kwa siku na sio daktari mmoja mkuu.NSSF & NHIF unaruhusiwa kumwona daktari mmoja kwa siku, labda kama ni issue ya emergency.
Sasa NHIF 192k unalazwa strategy 400k hulazwi si bora NHIFInategemea na kifurushi chako, lakini Cha chini kabisa ni laki nne kwa mwezi, hiki unatibiwa hospital yoyote na dawa unapewa lakini kulazwa huruhusiwi.
Na kutibiwa nyingine mwisho 40k hapo unapata nini faida ?Inategemea na kifurushi chako, lakini Cha chini kabisa ni laki nne kwa mwezi, hiki unatibiwa hospital yoyote na dawa unapewa lakini kulazwa huruhusiwi.
Strategies Ni NZURII Sanaa 😊 hii nilikua nayo enzi izoo nikiwa beneficiary wa mzee wangu....Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
-NSSF
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida zipi?
Binasi pamoja na Changamoto zote bado ntamshauri mtu ajiunge na NHIF iwe ya standard ,supplementary au VIFURUSHI kwa sababu zifuatazo -
1. Inapatikana Nchi nzima
2. Haina kiwango na ukomo wa matibabu kwa siku
3. Ina huduma zote muhimu kama kumwona daktari, vipimo, upasuaji na madawa muhimu yote.
Wewe je una uzoefu na ushauri upi?
NSSF Changamoto ni hapo kuchagua kituo cha afya kwenda kingine mpaka rufaa kutoka hapoStrategies Ni NZURII Sanaa 😊 hii nilikua nayo enzi izoo nikiwa beneficiary wa mzee wangu....
Miaka majuzi nikiwa naongeza Elimu za juu (postgraduate) moja ya takwa mojawapo la chuo Ni bima ya afya so nikajaza fomu za NSSF nikachagua hospital moja sijawai itumia Tena hata sijui kadi ipo wap..