Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Strategies Ni NZURII Sanaa 😊 hii nilikua nayo enzi izoo nikiwa beneficiary wa mzee wangu....

Miaka majuzi nikiwa naongeza Elimu za juu (postgraduate) moja ya takwa mojawapo la chuo Ni bima ya afya so nikajaza fomu za NSSF nikachagua hospital moja sijawai itumia Tena hata sijui kadi ipo wap..
Wambie wakina Error 404 waijue vizuri strategis.
 
DSC_0161.JPG
 
NHIF sasa hivi hawalipi hela ya kumuona daktari mmoja mmoja wanalipa hela ya Matibabu kwa siku hiyo uliyokwenda kutibiwa ,ukifika hospitalini ukaona Daktari mmoja au watatu wao wanalipa hela ya Daktari mmoja wakiwa wanamaana wanalipa Visit ya siku hiyo sio hela ya Daktari .

Hivyo kwa sasa unaweza kwenda hospital ukatibiwa na daktari bingwa wa Magonjwa ya ndani ,meno ,wa kawaida ila hapa watalipa ya Daktari mmoja ambae ni superior kwa hapa ni physician

Ukitibiwa hosp A leo ukaenda hosp B leo leo bado utasomeka uko hosp A huko hosp B utatibiwa kama ni Emergency au umepewa rufaa jambo ambalo la kawaida tu .
Ok
 
Hivi kumbe walibadili jina, nilidhani walifirisika. Nilikua naitumia miaka ile, enzi za hela ya mzungu wa African Barrick.

AAR ilikua Bima poa sana, tulikua tunaruhusiwa hata kupata huduma Pharmacy tu bila kupitia kwa daktari.

Sema walipigwa sana na wanachama wao.
Wanachama wao wana matumizi mabovu sana
 
Back
Top Bottom