Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
-
- #141
Hizo mkuu sio standard package ni supplementary packages .Soma picha ya pili mstari wa mwisho
ukilazwa tena nikumbuke hasa katika swala la kuku na satoNimewahi kutumia Assemble wakati ikiitwa AAR, nililazwa Bugando aisee ilikuwa burudani, bima ilikuwa inacover hadi misosi. Ulikuwa ni mwendo wa kuku na sato.
Hawana limits lakini wamefuta critical services kwa wanaokata bima binafsi.Hizo mkuu sio standard package ni supplementary packages .
Sikatai strategy ni Bima nzuri lakini kwa packages zake nyingi haiwezi izidi NHIF kwa coverage ya service .
Mfano tu NHIF hawana limit ya matumizi kwa siku kwa packages zao zote wao wanayo .
Hio ni kwa package ipi ndugu, I mean ya kiasi gani?STRATEGIS, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million Moja na laki Tano kama fedha ya kujikimu unapatiwa. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
Hata strategy wana exclusions nyingi sana ,hivyo kila bima ina mazuri na mapungufuHawana limits lakini wamefuta critical services kwa wanaokata bima binafsi.
Huduma ya Dialysis haipo kwenye kifurushi chochote cha NHIF. Bei za dawa zimewekwa chini mno hivyo wanaishia kupata low quality generic drugs.
Hata Surfactant ambayo ni lifesaving kwa watoto njiti haijawahi kutolewa na NHIF.
Kwa watumiaji binafsi vifurushi vya NHIF havina benefit ukilinganisha na cost zao, kwa sababu ungetoa out of pocket kwa huduma ndogo ndogo hutofikisha hiyo 2M kwa mwaka ya NHIF
Ila ukweli ni kwamba Maskini ndio hatuna Bima matajiri wanatumia bima .Bima bora kuliko zote ni PESA. Hakuna hospitali yeyote dunia nzima inayoikataa
Mkuu nimekuelewa sana.Bima nzuri ya afya ni wewe kuishi kiafya mkuu,Magonjwa mengi ni magonjwa ya Tabia, hizo Bima sana sana zitatusaidia kwenda kupewa madawa na sio suluhisho.
Cigna ni worldwide.ile ambayo unatibiwa Hadi nje ya nchi ndo sahihi
Nandicho nilichokizungumza lakini walibisha sana, wakiongozwa na mdau Error 404 ambae yeye bima anayotumia haijajumuisha gym, anataka aamini kwamba bima zote ziko hivyo.Hajasema service ya Gym unaclaim hospitali.
Hizo ni commercial Gyms zenye mikataba ya kutoa memberships kwa clients wa Strategies, na ni tofauti kabisa na huduma ya Physiotherapy
Kuanzia 800K per month. BTW mm yangu nalipiwa na kampuni 40M per year.Hio ni kwa package ipi ndugu, I mean ya kiasi gani?
Kuna wapuuzi wachache wakiongozwa na Error 404 walikua wanasema ni mambo ya vijiweni sio kweli. Pamoja na ndugu yake Nehemia Kilave yeye anasema haipo. Asante mkuu kwa kuleta hii ili wakahadithie ofisini kwao.Strategies wa Huduma ya GYM,
Ni uhakika kabisa hili wala halina ubishi. Suala la wewe unayoitumia na haikupeleki Gym ni wewe tu hujafikia package yenye gym. Natuma picha hapo yenye baadhi Gym facilities zenye mkataba na strategisView attachment 2994087
But mwanzo ulisema hawatoi kabisa huduma ya gym, mkuu hivi ulishindwa nini kuwapigia japo ujiridhishe. Au unafikir wote humu tunaleta poroja.Hizo mkuu sio standard package ni supplementary packages .
Sikatai strategy ni Bima nzuri lakini kwa packages zake nyingi haiwezi izidi NHIF kwa coverage ya service .
Mfano tu NHIF hawana limit ya matumizi kwa siku kwa packages zao zote wao wanayo .
WENYE BIMA ZAO WAMEFICHA, ILI PIA USIJUA UNACHASTAHILI KUPATA.Uzi ungekuwa na msaada zaidi kama ungeanisha bei ya kila bima. Hili la kusema tu bima nzuri linaweza kupotosha kwa sababu members hawatajua gharama.
Usihangaike kujielezea kwa wajuaji wa jf.Sintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.
Kua na siku njema.
Gharama zakwSTRATEGIS, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million Moja na laki Tano kama fedha ya kujikimu unapatiwa. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
Million 40 per year. VVIP package.Gharama zakw
Mkuu ghalama zake zikoje?Nhif wana portal yao ambapo ukiomba authorization moja, ndio hiyo hiyo ndani ya masaa 24 huwezi kupata kibali kingine labda iwe emergence case.
Nssf hawana utaratibu wa system lkn nao taratibu zao zipo hivyo, pia nssf unaruhusiwa kupata matibabu ndani ya hospitali moja tu ambayo utakuwa umechagua mwenyewe na ikitokea unataka kutibiwa sehemu tofauti lazima ukaombe kibali kwao.
Mimi ni mtumiaji wa hizi bima mbili kwa mda mrefu