Ni Bora aheri mara elfu uwape watoto yatima na wasiojiweza kuliko kukichangia hiko chama. 🚮

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Nasema wazi usijichumie dhambi Bure...

Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu

Mtume
Sallallahu Alayhi Wasallam, katika uwazi kabisa anasemaaaa, mwenye kumtunza yatima kwangu (katika Jannaa), kama hivi" (Mtume alionyesha vidole vya shahada karibu). (Sahih Bukhari), "Mimi na mlezi wa yatima tutakuwa kama hivi Peponi" (Akiashiria kidole cha katikati na cha gumba). (Sahih Muslim)

Usipoteze pesa yako Bure. Usjitafutie laana Bure. NIMEMALIZA.

Asalaam Aleykum....
Tumsifu Yesu Kristu ..( wanaoomba leo ni novena ya ngapi).
 
1754999528200.jpg
 
Atakayechangia CCM na alaaniwe!
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Hakika yatima ,wajene kuliko hao
 
Back
Top Bottom