NRNESawa naenda kuifuta subir dakika moja naifuta
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....
ASANTENI..
Na hicho ndicho kitafanyika kama yanga akigomea mechi kweliUkizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....
ASANTENI..
Hakuna kitu kama hicho... Timu igigomea mechi taratibu zianjulikana mzee...Kunyang;anywa point tatu na kushushwa daraja..Na hicho ndicho kitafanyika kama yanga akigomea mechi kweli
Ingekua ni rahisi kiasi hicho iyo kanuni ingetumika tarehe 8 march kwa simba. Hizi klabu mbili za kariakoo mambo yao yanamalizwa kwa busara sio kanuniHakuna kitu kama hicho... Timu igigomea mechi taratibu zianjulikana mzee...Kunyang;anywa point tatu na kushushwa daraja..
NO REFORM NO ELECTION
Hujui hata kusoma na kuelewa. Ni mwandishi wa makala ya Isiwe Zengwe ndio anawashauri TFF na,Bodi wakubali kosa.Nimetoka mwanaspoti.co.tz wameweka habari kuwa bodi imekili kosa,
Oliandika barua Mzee na kutoa sababu zenyw mashiko.Mbona Simba sc iligomea mechi .......
Umesoma vibaya.Nimetoka mwanaspoti.co.tz wameweka habari kuwa bodi imekili kosa,