Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Wamegoma kugangaa yajayo
Wamegoma kugangaa yajayo
Asante kwa kunisahihisha, nilisoma kwa haraka..Umesoma vibaya.
Nitumie link.
Mimi ni subscribed reader wa hilo gazeti online.
Na Leo nimelipia sijaona hiyo habari.
Au kichwa Cha habari Bodi, TFF wakubali kosa sakata la Yanga, Simba hujakielewa? Hayo ni maoni ya muandishi. Anawataka au kuwashauri bodi ya ligi na TFF wakili kosa.
Soma habari yote.
Wewe ni muungwana.Asante kwa kunisahihisha, nilisoma kwa haraka..