Umesoma vibaya.
Nitumie link.
Mimi ni subscribed reader wa hilo gazeti online.
Na Leo nimelipia sijaona hiyo habari.
Au kichwa Cha habari
Bodi, TFF wakubali kosa sakata la Yanga, Simba hujakielewa? Hayo ni maoni ya muandishi. Anawataka au kuwashauri bodi ya ligi na TFF wakili kosa.
Soma habari yote.