Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

Hahaha unaishi wapi mkuu..... Uswazi kawaida chukua watoto wa kishua uji kusikia maajabu kama Ayo.. utaenjoi ila kuwapata inahitajika uwe classic na usimamie ukucha hasa
 
Mi nlikua na huyo dem kina nikumuuliza anaendeleaje ananiambia ni mgonjwa kwa muda wa miez 6 hakuwahi kupona, kila nikimwambia mbona hunitafuti ananijibu Hana salio, nikawa namuunga kifurushi cha sms cha buku mbili tu mwenz mzima huku nikimwambia mi spend kuongea napenda kuchat tu[emoji23][emoji23]

Sent using Gun Trigger
 
Kama unapambana na tatizo basi itabidi uhamie sayari ya Mars kabisa ili uibuke mshindi, ila kama utaendelea kuishi duniani basi utaendelea kupigwa mizinga siku zote za maisha yako 😂
Hiyo inaitwa kula uliwe
 
Hahaha unaishi wapi mkuu..... Uswazi kawaida chukua watoto wa kishua uji kusikia maajabu kama Ayo.. utaenjoi ila kuwapata inahitajika uwe classic na usimamie ukucha hasa
Sasa wakishua si utaweka maisha yako hatarini kaka.. Maana kuchezea shaba nje nje bro
 
Mi nlikua na huyo dem kina nikumuuliza anaendeleaje ananiambia ni mgonjwa kwa muda wa miez 6 hakuwahi kupona, kila nikimwambia mbona hunitafuti ananijibu Hana salio, nikawa namuunga kifurushi cha sms cha buku mbili tu mwenz mzima huku nikimwambia mi spend kuongea napenda kuchat tu[emoji23][emoji23]

Sent using Gun Trigger
Huyo wako ni mwelewa.. Hawa wa kwetu ukituma message hajibu.. Anataka umpigie tu.. Na ukipiga ni mizinga kama hivyo mzee
 
[emoji2215][emoji2215]
temp3st._-20200426-0001.jpg

sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom