Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 296
- 176
Upo na point tena ya msingiHapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.
Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.
Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
Mchepuko sio mke kwa hiyo ukimkuta anapigwa pipe na mwanaume mwingine huna cha kufanya na the same akiolewa na mwanaume mwingine huna la kufanya. Kuhudumia mchepuko ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na wanaume dhaifu katika jamii.
G/f au demu naye ni malaya tu ambaye hauna mamlaka naye kama mke. Na wengi wanajiuza kwa wanaume wengine indirect.
Kuna risk zaidi ya kuambukizwa magonjwa kutoka kwa mchepuko na demu kuliko kutoka kwa malaya.Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?
Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
Malaya hana habari na mkeo, mchepuko sikuzote ni mpinzani wa mkeo na huwa wanataka watendewe kama wake wa ndoa.
Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
Malaya utamnunua kulingana na bajeti yako ya sasa, demu na mchepuko unayemtunza yeye anataka pesa zako tu na hata hajui unapitia kipindi gani kigumu kwa sasa kiuchumi au bajeti zako na malengo uliyojiwekea.
Hapa wanaume dhaifu hujitutumua kutoa pesa hata kama ni ya kukopa au akaharibu bajeti zake ili waonekane wanazo. Hili ni kosa kubwa sana.
Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko
Kadiri anavyopendeza ndivyo unamtegenezea mazingira wanaume wengine wamueke ndani kabisa kama mke.
Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?
Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.
Learn or Perish