Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Moja ya biashara kongwe zaidi duniani ​
Kwahiyo wewe unasisitiza iendelee?
Mwanamke km kuliwa ataliwa tu akiwa mkeo wa ndoa..!!

Halafu kwani hao wanawake wanalala na watu gani??
 
Huku kunako elekea, wanaume watakua Wehu, hii ni hatari, kuweweseka kila siku. Enyi wanawake punguzeni hiyo dosage, wagonjwa wenu watakufa kwa kuzidisha tiba.

😂😂😂😂😂
 
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?​

Mm SIKUBALIANI na ww kwenye hili.

Kwanza hoja zako zote umezijenga kwenye kuokoa GHARAMA.

1. Maisha yenyewe tu ni gharama, hata kama huna mke , mchepuko au hauend kutafuta hao malaya, bado utatumia hela ili uishi.
Tofauti ni how much you can afford to pay for that , in order to survive or enjoy !....

Gharama ya hela ni ndogo kwa uhai wako kuliko gharama ya kuwa na Malaya.

Hela Huisha pia.
Kama unaweza muhudumia mwanamke sawa, ila kama huwez bas unavunga wanaume wenzak wahudumie.

2. eti umeshauri mpaka waliosingle wanunue MaLaya 😂😂😂😂 ili kuokoa gharama. Dah!

Ushauri wangu:-
1. Vijana watafute wenza wafanye nao maisha.
Ikishindikana kupata mwenza bas zaa na komaa kutafuta maisha zaidi.

2. Wenye Ndoa watulie,
(Wanaume wanaweza kuzingua ukiwa tayar una ndoa , ila sio sababu ya ww kuhangaika. Kuna sehem sahihi za kulalamika, ukiona inashindikana bas muachane kabla ya kuwa na mwanaume mwingne isije mkafumaniwa mkauliwa.)

Kwa mwanaume uko na Mke wako ndan akaf unamuacha unaenda mfuata Malaya,
Dah😔😔
Jua tu uki mspoil mke wako, ukamtoa out ukampa bia na chakula kizur , akapendeza, atakupa zaid ya hata huyo malaya na hata senti hautoi baada ya huduma.
(Jaribi hii utaona).
 
uyo mkeo ni mpaka umspoil ndo akupe mambo mazuri. sasa anatofauti gani na malaya?
 
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?​
Kununua aisee.yani nilimpa demu 20k ya nguo wakat nikienda site na hiyo 20k nakula mbususu mpaka jasho la meno.
 
Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.

Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.

Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.

Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
​
  • Mchepuko sio mke kwa hiyo ukimkuta anapigwa pipe na mwanaume mwingine huna cha kufanya na the same akiolewa na mwanaume mwingine huna la kufanya. Kuhudumia mchepuko ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na wanaume dhaifu katika jamii.​

  • G/f au demu naye ni malaya tu ambaye hauna mamlaka naye kama mke. Na wengi wanajiuza kwa wanaume wengine indirect. ​

  • Kuna risk zaidi ya kuambukizwa magonjwa kutoka kwa mchepuko na demu kuliko kutoka kwa malaya.​
Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?

Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
​
  • Malaya hana habari na mkeo, mchepuko sikuzote ni mpinzani wa mkeo na huwa wanataka watendewe kama wake wa ndoa. ​

Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
​
  • Malaya utamnunua kulingana na bajeti yako ya sasa, demu na mchepuko unayemtunza yeye anataka pesa zako tu na hata hajui unapitia kipindi gani kigumu kwa sasa kiuchumi au bajeti zako na malengo uliyojiwekea. ​
​
  • Hapa wanaume dhaifu hujitutumua kutoa pesa hata kama ni ya kukopa au akaharibu bajeti zake ili waonekane wanazo. Hili ni kosa kubwa sana.​

Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko​
  • Kadiri anavyopendeza ndivyo unamtegenezea mazingira wanaume wengine wamueke ndani kabisa kama mke. ​

Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.

Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?

Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.

Learn or Perish
​
Kwahiyo wengi wanahudunia Malaya huku Kwa wake zao kila siku wanalalamikiwa hawatunzwi ipasavyo matokeo yake na wao wanaanza kujiuza 😅😅
 
Mzee Xi Jinping nikushukuru sana kwa haya madini. Huu ushauri wako nakubaliana nawe kwa 100%. Cha muhimu vijana watumie condoma kwa kila tendo. Binafsi madadapoa wamenisaidia kwenye maisha yangu. Nikipiga hesabu pesa walizoniokolea ni nyingi mno. Maisha yangu yalianza kuwa magumu sana nilipoanza kuwa na mahusiano rasmi. Niliacha kununua makahaba miaka zaidi ya miaka 10 iliyopita baada ya kahaba mmoja kunishauri kuwa niachane na mambo ya kuwanunua kwa sababu ninastahili kuwa na mwanamke mmoja na kuoana naye. Akadai kuwa kwa mwonekano wangu sistahili kuonekana Sewa Bar au Mrina Annex.
Mrina hii hii pale, kama unaenda tiptop au Mrina hipi mkuu? 🤣Mitaa fulani hivi ya jaromax hotel?? Au Mrina ya wapi
 
Mwanamke huwa jinsi mwanaume anavyom'treat...

Mwanamke mmoja anaweza kuwa mke sahihi huyu, akawa mchepuko kwa yule na malaya kwa huyu... Wanaume ndiyo huamua mwanamke aweje jinsi yeye anavyoona.

Kuepuka matatizo yote haya ni bora wanaume wajifunze kuzitawala hisia zao za kingono.
 
Back
Top Bottom