Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.
Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.
Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?
Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko
Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?
Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.
Learn or Perish