Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Si kweli mtoto anahitaji malezi ya baba na mama katika ukuaji wake​
Kuhitaji na kupata malezi ya baba na mama sio sababu ya kufanya mtoto asizaliwe.

Wangap wamelelewa na mzazi mmoja na wamekuwa wakubwa na kufanikiwa?.
Bila shaka ni wengi.na weng pia ambao wamepata malezi pande zote 2 wamezingua tu.

So Malezi hapa sio point sana.
Point ni ukikosa ndoa ww zaa.
Kila mtoto anakuja na baraka zake
 
Huku kunako elekea, wanaume watakua Wehu, hii ni hatari, kuweweseka kila siku. Enyi wanawake punguzeni hiyo dosage, wagonjwa wenu watakufa kwa kuzidisha tiba.

😂😂😂😂😂
Wewe mwenzetu vipi sio mwanaume?
 
Mwanamke huwa jinsi mwanaume anavyom'treat...

Mwanamke mmoja anaweza kuwa mke sahihi huyu, akawa mchepuko kwa yule na malaya kwa huyu... Wanaume ndiyo huamua mwanamke aweje jinsi yeye anavyoona.

Kuepuka matatizo yote haya ni bora wanaume wajifunze kuzitawala hisia zao za kingono.
Hakuna kitu kama hicho, mwanamke ana akili timamu na anajua anachokifanya. Acheni huu ujinga wa ku-justify makosa ya mwanamke kwa kumrushia lawama mwanaume
 
Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.

Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.

Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.

Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
​
  • Mchepuko sio mke kwa hiyo ukimkuta anapigwa pipe na mwanaume mwingine huna cha kufanya na the same akiolewa na mwanaume mwingine huna la kufanya. Kuhudumia mchepuko ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na wanaume dhaifu katika jamii.​

  • G/f au demu naye ni malaya tu ambaye hauna mamlaka naye kama mke. Na wengi wanajiuza kwa wanaume wengine indirect. ​

  • Kuna risk zaidi ya kuambukizwa magonjwa kutoka kwa mchepuko na demu kuliko kutoka kwa malaya.​
Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?


Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
​
  • Malaya hana habari na mkeo, mchepuko sikuzote ni mpinzani wa mkeo na huwa wanataka watendewe kama wake wa ndoa. ​

Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
​
  • Malaya utamnunua kulingana na bajeti yako ya sasa, demu na mchepuko unayemtunza yeye anataka pesa zako tu na hata hajui unapitia kipindi gani kigumu kwa sasa kiuchumi au bajeti zako na malengo uliyojiwekea. ​
​
  • Hapa wanaume dhaifu hujitutumua kutoa pesa hata kama ni ya kukopa au akaharibu bajeti zake ili waonekane wanazo. Hili ni kosa kubwa sana.​

Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko​
  • Kadiri anavyopendeza ndivyo unamtegenezea mazingira wanaume wengine wamueke ndani kabisa kama mke. ​

Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.

Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?

Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.

Learn or Perish
​
Upewe ulinzi
 
Naona hapo ni wanaume waache umalaya, hiyo ndio pona yao. Mahusiano huchukua muda kuyajenga, mkijaribu kuelewana, kuchukuliana na kupendana ili muweze kudumu na kuwa thabiti. Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
Kutongoza ni gharama na upotevu wa muda. Kwanini nitumie muda mrefu kumbembeleza mtu anaekuja kwenye maisha yangu kuniongezea gharama za maisha kwa exchange ya mbususu wakati huduma iyo iyo naweza kuipata ndani ya nusu saa tu uko telegram au tinder?
 
Bado hujasema, na utadata mwaka huu
Utashusha nyuzi hadi ubongo uvurugane, na bado utaishia kushindwa.

Poleeeee 😂😂😂😂
nina familia nzuri na maisha yangu yapo kwenye mwelekeo sahihi. Mimi kaka baba mtarajiwa wa kijana wa kiume, ni bora kijana wangu ateswe na mapenzi nitampa consultation atakaa sawa, lakini kijana kushikishwa ukuta ilo siwezi kukubaliana nalo, siwezi kuruhusu laana iingie kwenye uzao wangu
 
nina familia nzuri na maisha yangu yapo kwenye mwelekeo sahihi. Mimi kaka baba mtarajiwa wa kijana wa kiume, ni bora kijana wangu ateswe na mapenzi nitampa consultation atakaa sawa, lakini kijana kushikishwa ukuta ilo siwezi kukubaliana nalo, siwezi kuruhusu laana iingie kwenye uzao wangu
Utasema tUuh na lazima useme, hapa ndo kwanza trailer, bado movie enyewe, utawehuka huu mwaka, unataka au hutaki,

Watu weuweeee, 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom