Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.

Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.

Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.

Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
​
  • Mchepuko sio mke kwa hiyo ukimkuta anapigwa pipe na mwanaume mwingine huna cha kufanya na the same akiolewa na mwanaume mwingine huna la kufanya. Kuhudumia mchepuko ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na wanaume dhaifu katika jamii.​

  • G/f au demu naye ni malaya tu ambaye hauna mamlaka naye kama mke. Na wengi wanajiuza kwa wanaume wengine indirect. ​

  • Kuna risk zaidi ya kuambukizwa magonjwa kutoka kwa mchepuko na demu kuliko kutoka kwa malaya.​
Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?


Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
​
  • Malaya hana habari na mkeo, mchepuko sikuzote ni mpinzani wa mkeo na huwa wanataka watendewe kama wake wa ndoa. ​

Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
​
  • Malaya utamnunua kulingana na bajeti yako ya sasa, demu na mchepuko unayemtunza yeye anataka pesa zako tu na hata hajui unapitia kipindi gani kigumu kwa sasa kiuchumi au bajeti zako na malengo uliyojiwekea. ​
​
  • Hapa wanaume dhaifu hujitutumua kutoa pesa hata kama ni ya kukopa au akaharibu bajeti zake ili waonekane wanazo. Hili ni kosa kubwa sana.​

Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko​
  • Kadiri anavyopendeza ndivyo unamtegenezea mazingira wanaume wengine wamueke ndani kabisa kama mke. ​

Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.

Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?

Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.

Learn or Perish
​
Naona hapo ni wanaume waache umalaya, hiyo ndio pona yao. Mahusiano huchukua muda kuyajenga, mkijaribu kuelewana, kuchukuliana na kupendana ili muweze kudumu na kuwa thabiti. Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
 
Kwahiyo wewe unasisitiza iendelee?
Mwanamke km kuliwa ataliwa tu akiwa mkeo wa ndoa..!!

Halafu kwani hao wanawake wanalala na watu gani??
Kwa maoni yangu iendelee wana umuhimu wao

Mwanamke lazima aliwe ndio maana Mzee wa kupambania alisema hata wake ni malaya

Wanalala na wateja wao
​
 
Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
Una hoja lakini sio kwa hawa modern women wengi wanachozingatia ni kuuza vikojoleo​
 
Huo ndio kweli, wanawake wote wamekaa kwenye mahusiano kimasilahi japokuwa wanatofautiana kipaumbele.

Mkeo usipomhudumia atatoka nje.
Demu wako usipomhudumia atatoka nje.
Hii yote ni sifa za malaya, kwamba wanataka pesa tuu.
Hata ukimhudumia,atatoka nje tu,na huo ndo umalaya,yaani unafungua kila penis inamwaga mazaga.
 
Ushauri wangu:-
Ikishindikana kupata mwenza bas zaa na komaa kutafuta maisha zaidi.
Kwa nini uzae mtoto na mwanamke ambaye hauna mpango wa kufanya naye maisha?

Huoni kuwa huo ni ubinafsi unajiangalia wewe tu na huku mtoto au watoto wako wakikosa malezi ya mzazi mmoja?
​
 
Kwa nini uzae mtoto na mwanamke ambaye hauna mpango wa kufanya naye maisha?

Huoni kuwa huo ni ubinafsi unajiangalia wewe tu na huku mtoto au watoto wako wakikosa malezi ya mzazi mmoja?
​
Ubinafsi ni kutokuzaa kabisa.

Ndoa sio ya kila mtu.
Kama imeshindikana, unazaa tu .
 
Back
Top Bottom