Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Upo na point tena ya msingi
 
Mzee Xi Jinping nikushukuru sana kwa haya madini. Huu ushauri wako nakubaliana nawe kwa 100%. Cha muhimu vijana watumie condom kwa kila tendo. Binafsi madadapoa wamenisaidia kwenye maisha yangu. Nikipiga hesabu pesa walizoniokolea ni nyingi mno. Maisha yangu yalianza kuwa magumu sana nilipoanza kuwa na mahusiano rasmi. Niliacha kununua makahaba miaka zaidi ya miaka 10 iliyopita baada ya kahaba mmoja kunishauri kuwa niachane na mambo ya kuwanunua kwa sababu ninastahili kuwa na mwanamke mmoja na kuoana naye. Akadai kuwa kwa mwonekano wangu sistahili kuonekana Sewa Bar au Mrina Annex.
 
Unajua wengi tunahudumia michepuko kwasababu moja tu

Kwa mchepuko tunapiga nyama nyama na unakuwa free kufanya michezo yote michafu kwenye mzagamuo kwasababu kuna asilimia fulani unamuamin na mlishapima magonjwa

Lakin kwa malaya anaejiuza ni kutumia ndomu tu na wengi hatupati raha na unakuwa unaipiga lakin haupo huru una wasiwasi wa magonjwa

Ingawaje kweli kununua ni nafuu sana,ila kama upo vzur sana kiuchumi tafuta kimchempuko cha bei nafuu ufurahie maisha
 
Umesema vyema kununua makahaba kunaokoa sana. Asante sana kwa kutoa huu ushuhuda ambao wanaume wengi hawaujui​
 
Sasa unataka wasinunue jaman, unataka waoshe marungu yao bureee eenh,
 
Umeandika point kiasi sikupingi ila usioe kuepusha hayo
 
Hata mke alikuwa girlfriend kabla ya kuwa mke ina maana unaita wake za watu malaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…