Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Siku hizi tunatongozana basi anaye tongoza na anaye nunua wanapata treatment ile ile, kuna wengine wanauziwa ngono na wachumba zao kwenye mahusiano yao na wengine mpaka kwenye ndoa bado wanawauzia waume zao. Ndio maana mwanaume akitereka kiuchumi ,ndoa nayo huteteleka mpaka hupelekea kuvunjika.

Ile sijui kupigiana misele, sijui ujifunze maneno mazuri, hamna siku hizi. Ndio maana ukitongoza unatajiwa maneno lukuki na wewe ukimpa hela baada ya mda unapewa mzigo basi. Baada ya hapo utaamua mwenyewe endelee kuchunwa, huku ukijua hupendwi au uachane nae baada ya kula mzigo.
 
Binadamu wengi huwa hawatumii akili zao kufikiri mara nyingi watu wanatumia akili zao kuinga mambo ambayo walio wengi hufanya kwenye jamii zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…