Ni bora unifungie mwaka mzima chumba chenye maspika ya makelele ya kilio cha mtoto mchanga kuliko kunisikilizisha singeli. Trash music!

Ni bora unifungie mwaka mzima chumba chenye maspika ya makelele ya kilio cha mtoto mchanga kuliko kunisikilizisha singeli. Trash music!

Sio nembo ni mziki ila unafanywa kua mziki wa ovyoovyo na mziki wa ovyo huwezi ukamkuta mtu timamu wa akili zilizotimia anausikiliza au anaangalia na watoto wake, kuna sherehe moja ya mtaani tajiri mmoja aliamua kuweka sherehe akaarika watoto wa mtaa aje afurahi nao unajua miziki ya matajiri yeye anapenda miziki ya zamani ile yakinga olivangoma yondosista miziki taratibu akachukua plays list akampa dj apige hizo nyimbo zake basi muda ukaenda usiku majira km saa 2 hivi wale watoto wakaanza kusumbua hawataki zile nyimbo zinazopigwa na dj ikabidi mc aje juu nyie watoto tulieni kwani mboni mnasumbua watoto hawatulii mc akawauliza mnataka mpigiwe nyimbo gani ili mtulie watoto wakapiga kelele singeli dah niliinamisha kichwa chini wakaulizwa ipi wakataja ile yenye matusi mengi mpaka mc ikabidi asite ila kwa kua watoto wametaka ikabidi amuulize tajiri vipi tupige hio au tuwapaotezee tajiri akarhusu wapigie huku ananyanyuka zake anaenda kukwea ndinga aondoke zake maana yeye sio mtu wa singeli na ukizingatia ni mzee, basi watoto wakapigiwa ile singeli yenye matusi mengi mziki mkubwa makelele kibao wakaanza kugalauka ni matusi matusi matusi wakati kulikua kunapigwa miziki mizuri tu yakina mbili-aberi zuku safi kabisa zilikua zinaapigwa nyimbo za taratibu za kina Celine deon, mara ikaanza mikelele mziki haueleweki kambimbimbimbwa mbimbimbwa makadabadamakadabada mbwambwa halafu anaeimba sasa majanga matupu
💯💯💯💯
 
Back
Top Bottom