Kazi ya Kabudi kuuhamasisha..Huu Mziki Wa Hovyo
Mziki Hauna Madili Ya Kiafrika Kwa Upande Wa Kike Uzarishaji Mkubwa SanaHuu muziki kina kabudi wanaupromote wakitaka ndio uwe muziki wa tanzania! Muziki gani mbaya hivyo? Ni muziki wa uswahilini kwa wahuni. Huu muziki haujapata mapokezi makubwa kama bongo fleva ya enzi zile za kina nigga j, 2proud, soggy dog hunter na wengine wengi wa enzi hizo
Point kubwa sana na ndio unapumbaza watuOyaaaaa wanaanguuuu oyaaaaaa! Wahuni weweeeeee!!!🎶
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Hip Hop Ndiyo Mziki Wa Mtaa Wenye Ukomboz Wa Jamii Ya Chini Na Wasio Na Saut Kuweza KusikikaKama wewe hauwezi sikiliza sisi wengine hiyo ndiyo burudani na biashara yetu.
Singeli ni mziki wa waswahili a.k.a uswazi, kama wewe sio wa uswazi hauwezi kuuelewa.
Elewa maana ya mziki wa uswazi. Kila jamii ina mambo yake na starehe zake.Hip Hop Ndiyo Mziki Wa Mtaa Wenye Ukomboz Wa Jamii Ya Chini Na Wasio Na Saut Kuweza Kusikika
Sasa Huo Mziki Umeleta Matokeo Gani Chanya Kwa Jamii
Huu Mziki Umekuja Kwenye Lengo Tofaut Na Hiyo Mizik Uliyopita Kama Ulivyosema Taarabu Mnanda Mdundiko NkElewa maana ya mziki wa uswazi. Kila jamii ina mambo yake na starehe zake.
Singeli ni mziki wa waswahili kama ilivyokuwa taarabu enzi hizo, au mziki wa mnanda kama unaujua.
Kuhusu kuleta matokeo kwenye jamii, singeli ni biashara na chanzo Cha kipato Kwa wahusika.
Hali Mbaya SanaNi muziki wa uswahilini, tuza na harusi za mitaani huutumia sana muziki huu. Uchezaji wake ni wa kingonongono, unakutana mwanamke anacheza mithili ya kufanya ngono, anakatika kwa kutikisa matako kama anafanya ngono. Wakati mwingine mwanaume humbambia kwa nyuma mwanamke anayecheza muziki huo mithili ya kufanya ngono huku watoto wadogo wakiangalia, ni ushenzi mtupu
Hakika💯Huu Mziki Umekuja Kwenye Lengo Tofaut Na Hiyo Mizik Uliyopita Kama Ulivyosema Taarabu Mnanda Mdundiko Nk
Tuje Kwenye Hoja Yako Yakusema Upande Wa Kibiashara Unaweza Kuwa Chanzo Cha Kipato Kwa Wachache Lakin Ukaacha Maumivu Makal Kwakizazi Kinachokuja
Twende Kwenye Maadili Sasa Huko Ndipo Tunaona Huu Mziki Hauna Stara Kwajamii Hususan Watoto Wakike Uchezaji Wao Ni Upotovu Kwakizazi Kijacho
Hamna Mziki Hapa Bado Wanatumia Maneno Makali Sana Tunao Ishi Jamii Ya Chini Unazid Kudumaza Akili Za Vizazi Vyetu Na Vijavyo
Kwani hiyo bongofleva yenu ndiyo ina maadili? Video zake mabinti hawachezi nusu uchi?Huu Mziki Umekuja Kwenye Lengo Tofaut Na Hiyo Mizik Uliyopita Kama Ulivyosema Taarabu Mnanda Mdundiko Nk
Tuje Kwenye Hoja Yako Yakusema Upande Wa Kibiashara Unaweza Kuwa Chanzo Cha Kipato Kwa Wachache Lakin Ukaacha Maumivu Makal Kwakizazi Kinachokuja
Twende Kwenye Maadili Sasa Huko Ndipo Tunaona Huu Mziki Hauna Stara Kwajamii Hususan Watoto Wakike Uchezaji Wao Ni Upotovu Kwakizazi Kijacho
Hamna Mziki Hapa Bado Wanatumia Maneno Makali Sana Tunao Ishi Jamii Ya Chini Unazid Kudumaza Akili Za Vizazi Vyetu Na Vijavyo