Ni bora unifungie mwaka mzima chumba chenye maspika ya makelele ya kilio cha mtoto mchanga kuliko kunisikilizisha singeli. Trash music!

Aweeeeee, unakosa uhondo.
Watoto wa uswazi hizo ndio nyimbo zetu ni bora tukose kula ila sio kukosa “dundo”
Hawajui vibe la uswazi hao, huku tunakilakitu Cha kipekee, kuanzia mziki wetu, vyakula vyetu, mpaka pombe zetu 😂
 
Kwani hiyo bongofleva yenu ndiyo ina maadili? Video zake mabinti hawachezi nusu uchi?

Singeli ni mziki wa asili, sio kama hiyo bongo fleva ambayo ni copy and paste kutoka miziki ya nchi nyinginezo.

Kuhusu kipato hatakama ni wachache hunufaika lakini ni heri hivyo. Na kama ulikuwa hujui ni kwamba singeli ndiyo mziki pendwa na wenye vibe kubwa Kwa Sasa hapa bongo.

Mimi binafsi nimenufaika sana na mziki huu, tangu enzi za mnanda mpaka Sasa singeli A.K.A Bakora
Ilianza Hip Hop Kisha Ikaja Rap Katuni Na RnB Hivyo Hizi Ladha Zote Zikaitwa Bongo Fleva Japo Hip Hop Inakuwa Yenyewe Kama Msingi Wa Mziki WakiTanzania

Nyimbo Bongo Fleva Kama Ya Ferooz Starehe Ulileta Matokeo Bora Kwa Jamii Kuhusu Ngono Zembe

Huu Ni Mfano Wa Nyimbo Nying Nyuma Zilizokuwa Zenye Matokeo Chanya Kwenye Jamii Husan Tunaishi Maisha Ya Chini

Singeli Kuna Nyimbo Gan Yenye Kuifundisha Jamii Baada Yake Uamasisha Uzinzi na Uasherati
 
Zipo nyimbo nyingi tu za singeli zenye jumbe nzuri, tatizo umekariri kwamba Kila singeli lazima iwe na matusi.

Nimekuuliza swali, kwani hiyo bongo fleva Haina matusi? Tena huko ndipo mpaka mambo kama us**ga yanapewa nafasi na hao wasanii wabana pua.

Singeli ni mziki shupavu, mziki wa masela au watoto wa mtaa...

Kama wewe huupendi basi kausha, Wacha wengine waburudike Kwa mpango wao.
 
Ntajie Nyimbo Moja Kwanza Tuendelee
 
Hawaelew hao hata uwashikie fimbo

Ila Kuna nyimbo za singel Zina ujumbe kuliko bongo fleva angalia hata Ngoma ya kaje double killer ya future unaona kabisa kijana ameandika uhalisia na kuongelea mapambano ya mtaa
 
Hawa wanajifanya machinoo eti hawawez sikiliza singeli kwasababu wao ni professional sana

Watuachie mziki wetu na kama wao hawaupendi basi watulie waache waswahili tufurahie mziki wetu.
 
Back
Top Bottom