Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Huo Muziki wenu waswahili ni mbaya, ni makele matupu, kucheza kama wendawazimu na wala hauna ubunifu wa sanaa yoyote ndani yake.Mnajifanya washua eti mnaita singeli mziki wa hovyo.
Tuachieni mziki wetu waswahili tutambe kivyetuvyetu.