Mzungu wa madawa
Senior Member
- Aug 16, 2024
- 120
- 282
Wewe ndiyo huna akili, haiwezekani tamaduni ya watu unawaona hawana akili, wakati hata huko mikoani Kuna Ngoma za asili Tena zenye makelele mengi tu.Hizo kelele zinzokwenda kwa jina la singeli ni moja ya viashiria kukosa akili , kuwa na akili ya kiwango cha chini sana, au kuharibikiwa na akili.