Ni bora unifungie mwaka mzima chumba chenye maspika ya makelele ya kilio cha mtoto mchanga kuliko kunisikilizisha singeli. Trash music!

Mziki mzuri huuo sema hujapiga kwenye bufaaa halafu uwe umetoka kupendwa, halafu ipigweee hii👇

"Oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogo, oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogo"

We mushizooo utawauwaaa
 
Singeli ni makelele ya kuhamasisha uhuni na umalaya,hakuna mziki hapo.
Anayependa singeli muangalie Mara mbilimbilli ni mtu wa aina gani
 
Hawa wanajifanya machinoo eti hawawez sikiliza singeli kwasababu wao ni professional sana

Watuachie mziki wetu na kama wao hawaupendi basi watulie waache waswahili tufurahie mziki wetu.
Walioupa hype singeli ni Waahindi raia watanzania wanaoishi nje walisema sisi hatuna genre ya kwetu hata bongofleva sio genre kwa hio inabidi tuwe na genre ya kwetu ndio wakaipoint singeli, hii nilisikiliza kwenye radio kabla kabla kabisa singeli haijapewa umuhimu huu inayopewa sasa,

sasa wahindi wao wanachofurahia ni ile midundo sio kinachoipwa sikiliza hio ya utamu wa mwajuma sijui fatuma kupakwa mate kufanya nini ku.ma inabana ku.ma achia, wao hawasikilizi hivyo, walichofeli ni kuubadiri mziki wa singeli kua mziki wa jamii na sio mziki wa wahuni km ukivyokua hapo ndipo waliposhindwa yaan kuu-control na kuwacontrol waimbaji wa huo mziki wameshindwa kwani ni mziki wa matusi kuanzia uimbaji mpaka uchezaji yaan ni mziki wa ngono ya chumbani hususani ngono ya kinyume na maumbile ndio unai-promote sana angalia wanawake wanacheza matako juu maana yake ni hio kwamba una-promote wanawake kufirwa
 
Sema huyo jamaa anaonekana hajazifuatilia vizuri huyu anaongelea singeli za zamani wakati ndio zinaanza kweli hazikuwa na topic maalum zaidi ya vibwagizo tu zikichanganywa na matusi ila sasa hivi singeli zimebadilika na wasanii wake wameanza kuwa serious wanatunga topic za kueleweka kama ilivyo kwenye bongo fleva tu maana wamegundua kuwa ile ni kazi na inawalipa siku hizi ila miaka ya nyuma ilikuwa ni burudani tu.
Hata mimi mwenyewe zamani nilikuwa nazichukia sema sasa hivi zimeanza kunivutia na kwa spidi yao hawa vijana wataipiku Bongofleva maana sasa hivi wanasafiri hadi Ulaya kwenda kupiga show.
Lengo la kuupa hype mziki wa singeli ni kutengeneza genre ya kwetu iwekwe na wazungu km singeli hilo ndio lilikua leengo ila mbaya mziki wenyewe kinachoimbwa mzungu akitulia akatafiri neno mojamoja anaacha kuusikiliza rasmi maana kinachoimbwa asilimia nyingi ukiondoa chache ambazo zina ujumbe na zile zenye ujumbe hazipendwi zinapendwa zile za matusi matusi yaan sijawahi kuingia bar nikakuta wanapiga huo mziki wa waendesha bodaboda waliolewa visungura, Wahindi walichofeli ni kuubadiri huo mziki kua mziki wa jamii hapo tu ndio wamefeli ila sio mziki mbaya unatakiwa kufanyiwa maboresho utoke huko kweenye matusi uwe mziki wa kiistarabu
 
Sema huyo jamaa anaonekana hajazifuatilia vizuri huyu anaongelea singeli za zamani wakati ndio zinaanza kweli hazikuwa na topic maalum zaidi ya vibwagizo tu zikichanganywa na matusi ila sasa hivi singeli zimebadilika na wasanii wake wameanza kuwa serious wanatunga topic za kueleweka kama ilivyo kwenye bongo fleva tu maana wamegundua kuwa ile ni kazi na inawalipa siku hizi ila miaka ya nyuma ilikuwa ni burudani tu.
Hata mimi mwenyewe zamani nilikuwa nazichukia sema sasa hivi zimeanza kunivutia na kwa spidi yao hawa vijana wataipiku Bongofleva maana sasa hivi wanasafiri hadi Ulaya kwenda kupiga show.
Akiimba maneeno mawili matatu la nne tusi, mawili matatu la nne tusi kuna siku nilikuta watoto wanaimba matusi wakike na wakiume na mama zao wameweka kabisa mziki huo wanaimba wote ila kinachoimbwa ni matusi mwanzo mwisho nikawa najiuliza inamaana wale wamama wanafundisha nini wale watoto au kwa sababu watoto hawaelewi na watoto wamekariri mwimbo huo wanauimba mwanzo mpaka mwisho hawakosei hata neno ila wanachoimba ni matusi matupu na ukichanganya watoto wanaanza kucheza ule mchezo wa wafiraji kupanua matako juu huku wanayatingisha na mama zao wanawaangalia wanachokifaanya
 
Sasa hilo ni jambo jepesi tu.
Inatakiwa mameneja wao wakae nao chini na kuwaelimisha tu kwamba sasa hivi muwe mnatunga mashairi ya kuleta ujumbe bila kuongezea matusi baadae watakaa sawa.
Ila kwenye upande vibe na uasili wa kitanzania wasanii wa singeli hawana mpinzani maana wasanii wa bongofleva hawana msimamo wanakopi nyimbo za Nigeria na Amapiano za South Africa kwa hiyo hazina utambulisho wa Utanzania.
Hakuna hata vibe wala uasili wowote wa Kitanzania, hakuna sana pali bali uchafu mtupu, huo muziki ukipigwa popote ni kama watu wendawazimu wanaimba na kurukaruka tu hata huwezi kusema eti wanacheza kisanii. Muziki ni ubunifu wa kuimba na kucheza, singeli haina ubunifu wowote wa kisanii.
 
Mziki mzuri huuo sema hujapiga kwenye bufaaa halafu uwe umetoka kupendwa, halafu ipigweee hii👇

"Oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogo, oya mapenzi hisia tikisa kichwa kidogo"

We mushizooo utawauwaaa
Sasa huo ni wimbo mmoja tu wenye ujumbe na usio na matusi ila asilimia kubwa ni matusi matusi matusi mwanzo mpaka mwisho, huo wimbo ndio pekee unaweza ukakaa ukasiliza hata na Baba yako bila kupeleka mbele au kubadirisha chanel, wamama hawajali miziki ya matusi ndio inawapa hype sana ndio maana wale wanaobinua matako ni wanawake huwezi kumkuta mwanaume yupo pale eti anacheza singeli kabinua matako juu naa kuyatingisha anataka kufirwa?
 
Walioupa hype singeli ni Waahindi raia watanzania wanaoishi nje walisema sisi hatuna genre ya kwetu hata bongofleva sio genre kwa hio inabidi tuwe na genre ya kwetu ndio wakaipoint singeli, hii nilisikiliza kwenye radio kabla kabla kabisa singeli haijapewa umuhimu huu inayopewa sasa,

sasa wahindi wao wanachofurahia ni ile midundo sio kinachoipwa sikiliza hio ya utamu wa mwajuma sijui fatuma kupakwa mate kufanya nini ku.ma inabana ku.ma achia, wao hawasikilizi hivyo, walichofeli ni kuubadiri mziki wa singeli kua mziki wa jamii na sio mziki wa wahuni km ukivyokua hapo ndipo waliposhindwa yaan kuu-control na kuwacontrol waimbaji wa huo mziki wameshindwa kwani ni mziki wa matusi kuanzia uimbaji mpaka uchezaji yaan ni mziki wa ngono ya chumbani hususani ngono ya kinyume na maumbile ndio unai-promote sana angalia wanawake wanacheza matako juu maana yake ni hio kwamba una-promote wanawake kufirwa
Acha UONGO ndugu, singeli haijawahi kuwa mziki wa wahindi.

Singeli ni zao la mnanda, mnanda ni mziki uliokua unapigwa uswahilini Kwa kutumia stuli na mabati na zana nyinginezo. Baada ya vyombo vya kisasa kuanzia kutumia ndipo beat za singeli zikaanza kuundwa.

Wengine walikuwa wanapiga Ngoma na matarumbeta, baada ya hapo ndipo watu wakaanza kuingia studio na kirekodi sauti.

Kama kitu hukijui Bora ukae kimya kuliko kusema uongo kwamba ni mziki wa wahindi.
 
Mziki gani unakelele mwanzo mwisho?
halafu washamba wengi siku hizi wapo mjini.
Huwezi ukakaa ukasikiliza na Baba yako labda Baba yako awe mibange ila km yupo timamu hawezi akakaa na wewe eti mnasikiliza utamu wa fatuma sijui kufanya nini lazima mzinguane na ile mikelele mziki haujatulia mziki km unaamsha madogoli kinyamkera mziki wa wanga wanaenda kuroga kwenye njiapanda fulani
 
Acha ushamba, kama wewe huwezi sikiliza basi kausha na uzibe masikio, tuachie mziki wetu pendwa waswahili.
 
Acha UONGO ndugu, singeli haijawahi kuwa mziki wa wahindi.

Singeli ni zao la mnanda, mnanda ni mziki uliokua unapigwa uswahilini Kwa kutumia stuli na mabati na zana nyinginezo. Baada ya vyombo vya kisasa kuanzia kutumia ndipo beat za singeli zikaanza kuundwa.

Wengine walikuwa wanapiga Ngoma na matarumbeta, baada ya hapo ndipo watu wakaanza kuingia studio na kirekodi sauti.

Kama kitu hukijui Bora ukae kimya kuliko kusema uongo kwamba ni mziki wa wahindi.
Sijakwambia kua Mziki wa Wahindi, wewe soma kwa hatua, nimekwambia walioupa hype au uelewi maana ya hype na kutaka kuupush mbali zaidi ni Wahindi hao wakina kabudi FA wamekuja kuudandia tu pale walipoanzisha Wahindi na hio project nilisikiliza kwenye radio walikua wanasema sisi hatuna mziki wetu inabidi tuwe na mziki wetu ndio wakasema mziki wenye midundo ya kwetu ni singeli na hapo lengo lilikua ni sisi tuwe na genre yetu km Tanzania maana bongofleva sio genre bongofleva ni mchanganyo wa genre tofauti za mataifa ya nje, sasa wakaja na wazo la sisi tupate genre itambulike kimataifa ndio wakaipoint singeli lengo kule kwa wazungu kwenye records za santuli genre yety isomeke singeli yaan wazungu wasipate tabu kuutambua mziki wa Tanzania, wakisema tu genre ya singeli basi kila mtu dunia nzima liwe ni Tanzania, hilo ndio lilikua wazo la wale Wahindi, mimi nikawa najua ni utani mara imekua hivyo lakini wazo sio baya ila kinachoimbwa ni nini?
 
Sina muda wa kusoma Hilo gazeti.

Ila tambua Singeli ni nembo ya mtaa, nembo ya mswahili.
 
Sio nembo ni mziki ila unafanywa kua mziki wa ovyoovyo na mziki wa ovyo huwezi ukamkuta mtu timamu wa akili zilizotimia anausikiliza au anaangalia na watoto wake, kuna sherehe moja ya mtaani tajiri mmoja aliamua kuweka sherehe akaarika watoto wa mtaa aje afurahi nao unajua miziki ya matajiri yeye anapenda miziki ya zamani ile yakinga olivangoma yondosista miziki taratibu akachukua plays list akampa dj apige hizo nyimbo zake basi muda ukaenda usiku majira km saa 2 hivi wale watoto wakaanza kusumbua hawataki zile nyimbo zinazopigwa na dj ikabidi mc aje juu nyie watoto tulieni kwani mboni mnasumbua watoto hawatulii mc akawauliza mnataka mpigiwe nyimbo gani ili mtulie watoto wakapiga kelele singeli dah niliinamisha kichwa chini wakaulizwa ipi wakataja ile yenye matusi mengi mpaka mc ikabidi asite ila kwa kua watoto wametaka ikabidi amuulize tajiri vipi tupige hio au tuwapaotezee tajiri akarhusu wapigie huku ananyanyuka zake anaenda kukwea ndinga aondoke zake maana yeye sio mtu wa singeli na ukizingatia ni mzee, basi watoto wakapigiwa ile singeli yenye matusi mengi mziki mkubwa makelele kibao wakaanza kugalauka ni matusi matusi matusi wakati kulikua kunapigwa miziki mizuri tu yakina mbili-aberi zuku safi kabisa zilikua zinaapigwa nyimbo za taratibu za kina Celine deon, mara ikaanza mikelele mziki haueleweki kambimbimbimbwa mbimbimbwa makadabadamakadabada mbwambwa halafu anaeimba sasa majanga matupu
 
Huwezi ukakaa ukasikiliza na Baba yako labda Baba yako awe mibange ila km yupo timamu hawezi akakaa na wewe eti mnasikiliza utamu wa fatuma sijui kufanya nini lazima mzinguane na ile mikelele mziki haujatulia mziki km unaamsha madogoli kinyamkera mziki wa wanga wanaenda kuroga kwenye njiapanda fulani
Mziki inahamasisha udangaji na wahuni?
wanasema eti una vibes ile mikelele ndo vibes kweli hawa madogo wanazingua wimbo hauna contents mwanzo mwisho ni mitusi tu

Halafu hawataki kukosolewa
SHITS!
 
Huu muziki kina kabudi wanaupromote wakitaka ndio uwe muziki wa tanzania! Muziki gani mbaya hivyo? Ni muziki wa uswahilini kwa wahuni. Huu muziki haujapata mapokezi makubwa kama bongo fleva ya enzi zile za kina nigga j, 2proud, soggy dog hunter na wengine wengi wa enzi hizo
Bongo flava ni rnb iliyobadilika jina,
Singeli haswa na taarab ndio muziku wa Tanzania,
Sasa shida iko kinachoimbwa kwenye singeli na makelele ya muziki wenyewe, muziki ala ziko juu juu muda wote, kelele ndo kabisa, maneno ya kijinga kabisa katika muziki
 
Back
Top Bottom