Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

Sijawahi kuona umecomment comment ndefu namna Hii, Ila umeongea UKWELI mtupu.

Kongole Sana mkuu Smart911 [emoji4][emoji106]
 
Umeongea fact,
Ila Kuna mahali nakupinga mkuu.
Kuna baadhi ya wanawake Ni much know Sana, kila kitu anakijua yeye na hataki kupingwa

Mwanamke wa hivi sio wa kushindana na, Ni kumpuuza TU abaki na ujuaji wake.

Ukijishusha Sana kwake atakuona unajikosha Sana, Hakuna rangi utaacha kuona.

Dawa Yake Ni kumpuuzia, na kumsusia tu abaki na ujuaji wake.
 
Nisha date na type zote hizo... upo sahihi kabisa...
 
Wakuu tutajieni majina ya wanawake wenye standard zao,ambao wamewekwa chini ya himaya ya mtu......ili tuongee lugha moja.
Wake wote wa mitume na manabii na waja wema walio tangulia. Mpaka dunia inakwisha hakuna mwanamke wa kuwafikia Wanawake hao kwa ubora.

Karibu tuongee lugha unayotaka, tena chagua ile ambayo ni rahisi kwako.
Taja labda Condoleza Rice au Kamala Harris ni mke wa sita wa bwana so and so.na anajifahamu ni mke wa sita,pia usichanganye kuwa cheated na kuaccept kuwa umekuwa wife number flani.

Hawa uliowataja huenda hata hawajui kujisafisha wakitoka kukojoa. Vipi wawe marejeo yako ? Hao ndiyo wanawake wasio jitambua wenye kuongoza, sababu hawajui nafasi zao ndiyo maana wapo hapo au walikuwa hapo walipo. Wamejidhuru wenyewe huku nyinyi wajinga wenzao mkiwaona wamefanikiwa au wanajitambua.

Hakuna Mwanamke anayejitambua anaepinga mitala.

Wakuu pangueni hoja kwa hoja,tajeni majina mazito,ya wanawake sensible waliokubali hayo maswala.kama hatuwajui tutatumia google.
Uzito wa majina hayo uko wapi ? Kuna umaarufu na kuna ubora, ulio wataja ni maarufu na si bora katika Wanawake. Wanawake walio bora ni walioko majumbani jutimiza wajibu wao.

Usiende google huko huwapati Wanawake bora na wenyw hadhi, sababu hata google wapo Wanawake wasio jua thamani zao.

Pita nyumba hadi nyumba, au ulizia ukioba mwanamke yuko nyumbani, ana tabia nzuri na anafanya ibada huyo ndiyo mwanamke bora na hadhi kuliko hao unao wataja.
Msipick watu wenye insecurities zao,hawana la kuigwa then mnawaweka kwenye meza eti huyu mbona mke wa mia 200 wa flani.
Hao ulio wataja wewe unawaiga katika nini ? Kutembea uchi yaani wamevaa nguo lakini wako uchi ? Au kusimama mbele za wanaume na kuongea au kutoa matamko ?

Hata upewe miaka kumi nina uhakika huna hoja za kutetea unacho kidai.

Shukrani.
 
Namba 26 hadi 30

Uko sahihi.. mwanaume mwerevu hawezi kusamehe cheating ila wanawake ndiyo huweza
 
Mwanaume Mwerevu Kama hajaoa au hajawahi kuoa kamwe usiruhusu akuoe ikiwa wewe unamtoto/single mother. Hawezi kuwa Mwerevu huyo, na hajatumia hisia zaidi kuliko Akili.
Hakika,I got u🤜
 
Woow😳,you are so lovely aisee,embu niruhusu nije nitoe posa bas,maana wewe naona huna hela.Mbona tunachelewachelewa😠
 
Aminaa
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…