Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

😀😀

Acha makasiriko Mkuu
Me anae jielewa usicheze nae kabisa yeye anapima kismart utacho kuja nacho nyumbani kwake.....km una mikosi atakufukuza km dogi tena kwa kuzomewa.....mke unae mlisha/mtunza ni kismati tosha ndani ya nyumba usicheze kabisa.....anaweza olewa vifo vikafululizaaa nyumbani kwako...usipokuwa mwelevu mpaka na wewe utakufa kizembe tu....chunga sana kitu mke unae mhudumia kwa kila kitu....ndo maana wadada warembooo hawaolewi pia.
 
Sasa huyo sio mwanaume, mwanaume haangalii maslahi, anayeangalia maslahi ni mwanamke.
 
😀😀😀

DJ maarufu.
Navutiwa na staili yake ya maisha, kwangu ni sehemu ya burudani
Mie naona mleta mada hajakutana na mbususu zinazo ita huyu pia nafikiri hujui machejo weye!! ivi unamczea chezea mpaka apande Mlima kitonga mara tatu.... bila chenga!! yaani akuache kirahisi tu!!!... "eti toka" haya naenda/rudi kwetu kirahisi tu??

Ke anae maliza yake bana labda umtorokee mbalii sana. asijue na asikuone.....lkn kumfukuza??!! hata uje na winch hatokiiii.....ndo utajua ke si mchezo......aende wapi kwenye vibamia??....ukiona mke ameondoka kirahisi basi unajue una kibamia lkn hawasemi...ke wana akili sana.weweee!!...

Panapo utamu wanawake wooote Duniani mtasumbuana sana ukifanya mchezo ana kuua tena live kimchezo mchezo!!!.....labda ukiwa na akili umtoroke..lkn akikukamata ni kifooo!! !ki vyovyote vile. labda uwahi kwa nyamichwo.
 
Sasa huyo sio mwanaume, mwanaume haangalii maslahi, anayeangalia maslahi ni mwanamke.
Mkuu labda hujaelewa me anafuata channel ya masrahi fiche..

ke anafuata masrahi yaliyoko mezani ili ale....ile iko kote kote na amini nakwambia bila kujua masrahi fiche huwezi ishi na ke.... kwanza hata wao hawakai nani anataka shida....???.

Wewe me ndo ujue mali ilipo jificha sirini.then nenda chukua. Tumia utaonekana hapo sasa watakuja weeengi....ndo utakapo potelea hapo. Mbona falsafa rahisi tu hii..... Kifupi ukiona mtu ke au me hapendi masrahi ako gonjwa.

Vita zooote Duniani ni masrahi...eti weye Mkurya unadharau masrahi.....shule unasoma ili upate nini...????
 
Wanaume wachache sana wana busara ya kuishi na wake zao kwa usawa
Hivyo kuleta vita
Ndio maana Uislamu umetoa mwongozo
 
Wanawake unaowashauri watafute wanaume wanaojielewa ndo hawahawa tunaowaona wanaovuta shisha au wale wa Za mbezi na Lachaaz au kuna wengine?
 
Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume Mwerevu ukizaa naye hata mkiachana kamwe hawezi kukuchukia, atakusaidia wewe na mwanao, atavumilia na kukuelewa mapungufu yako ya hasira na chuki. Hatajali hivyo kwani anakuelewa, atakusaidia iwe Kwa ukali au Kwa upole lakini atakusaidia wewe na mwanao.

Lakini mwanaume asiyejielewa atakuchukulia wewe Kama Mkubwa mwenzake, atakuwa mtu wa kukulaumu na kukukaripia Kwa sababu hajui saikolojia ya wanawake ilivyo.

Mwanaume Mwerevu kamwe hawezi kukusamehe siku utakayomsaliti na kutoka na Mwanaume mwingine.
Lakini mwanaume asiyejielewa anaweza kukusamehe kutokana na kutokujiamini kwake, na ujinga wa kutokujua kufanya maamuzi sahihi.

Binti yangu, ukiona mwanaume amekufumania na akakusamehe jua huyo hakupendi, na hajielewi, yupo kwako Kwa sababu zingine lakini sio Upendo,
 
Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume anayekupenda Ile yenyewe siku ukim-cheat alafu akajua ndio siku hiyo hiyo atakuchukia kuliko mtu yeyote Yule. Na Kama hatakuwa mwangalivu wa kujitawala anaweza kujidhuru au kudhuru watu wengine.

Lakini mwanaume asiyejielewa hupenda kushindana na wanawake, kuwekeana Ligi zisizo na maana, kususa, kununa nuna kama mtoto wa kike.

Mwanaume Mwerevu atajua namna ya kukubembeleza na kukutuliza hata Kama unahasira au umenuna kiasi gani.
Mwanaume asiyejielewa yeye kubembeleza atachukulia Kama kujidhalilisha, kujishusha ilhali yeye ni mwanaume tuu, anashindwa akili hata na Jogoo.
 
Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume Mwerevu Kama hajaoa au hajawahi kuoa kamwe usiruhusu akuoe ikiwa wewe unamtoto/single mother. Hawezi kuwa Mwerevu huyo, na hajatumia hisia zaidi kuliko Akili.
 
Back
Top Bottom