Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Habari ndio hiyo.Huu ushuhuda huu sidhani 😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndio hiyo.Huu ushuhuda huu sidhani 😋
😆😆😆Habari ndio hiyo.
Me anae jielewa usicheze nae kabisa yeye anapima kismart utacho kuja nacho nyumbani kwake.....km una mikosi atakufukuza km dogi tena kwa kuzomewa.....mke unae mlisha/mtunza ni kismati tosha ndani ya nyumba usicheze kabisa.....anaweza olewa vifo vikafululizaaa nyumbani kwako...usipokuwa mwelevu mpaka na wewe utakufa kizembe tu....chunga sana kitu mke unae mhudumia kwa kila kitu....ndo maana wadada warembooo hawaolewi pia.😀😀
Acha makasiriko Mkuu
Me anae jielewa usicheze nae kabisa yeye anapima kismart utacho kuja nacho nyumbani kwake.....km una mikosi atakufukuza km dogi tena kwa kuzomewa.....mke unae mlisha/mtunza ni kismati tosha ndani ya nyumba usicheze kabisa.....anaweza olewa vifo vikafululizaaa nyumbani kwako...usipokuwa mwelevu mpaka na wewe utakufa kizembe tu....chunga sana kitu mke unae mhudumia kwa kila kitu....ndo maana wadada warembooo hawaolewi pia.
Mie naona mleta mada hajakutana na mbususu zinazo ita huyu pia nafikiri hujui machejo weye!! ivi unamczea chezea mpaka apande Mlima kitonga mara tatu.... bila chenga!! yaani akuache kirahisi tu!!!... "eti toka" haya naenda/rudi kwetu kirahisi tu??😀😀😀
DJ maarufu.
Navutiwa na staili yake ya maisha, kwangu ni sehemu ya burudani
Mkuu labda hujaelewa me anafuata channel ya masrahi fiche..Sasa huyo sio mwanaume, mwanaume haangalii maslahi, anayeangalia maslahi ni mwanamke.
Nikufanyie summary uelewe vizuri...Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume Mwerevu ukizaa naye hata mkiachana kamwe hawezi kukuchukia, atakusaidia wewe na mwanao, atavumilia na kukuelewa mapungufu yako ya hasira na chuki. Hatajali hivyo kwani anakuelewa, atakusaidia iwe Kwa ukali au Kwa upole lakini atakusaidia wewe na mwanao.Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume anayekupenda Ile yenyewe siku ukim-cheat alafu akajua ndio siku hiyo hiyo atakuchukia kuliko mtu yeyote Yule. Na Kama hatakuwa mwangalivu wa kujitawala anaweza kujidhuru au kudhuru watu wengine.Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Mwanaume Mwerevu Kama hajaoa au hajawahi kuoa kamwe usiruhusu akuoe ikiwa wewe unamtoto/single mother. Hawezi kuwa Mwerevu huyo, na hajatumia hisia zaidi kuliko Akili.Nimeielewa kimtindo...Sababisha bas niwe mke wa pili kwako
Hhahahah!!Wanawake unaowashauri watafute wanaume wanaojielewa ndo hawahawa tunaowaona wanaovuta shisha au wale wa Za mbezi na Lachaaz au kuna wengine?
Miss you mamaa!!😘Aisee
Miss you too kipenzi 😘😘Miss you mamaa!!😘