Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

Mwendazake aliwajaza ujinga wengi na wakadhani ataishi milele na ni wa kuabudiwa - wakasahau kwamba wa kuabudiwa ni MMOJA tu aliyeko juu !! kwisha habari !!
 
Sukuma gang, zama zenu zimeisha
 
Masikio ni kitu cha ajabu sana; nimemsikiliza Mbowe jana usiku through youtube, sina kumbukumbu kama nimemsikia akipigia kampeni CHANJO, nimemsikia akisema hivi, "mimi nimechanjwa, huko niliko kua chanjo ni lazima" akamaliza kwakusema, "tumekua kituko duniani kwa kuacha miongozo ya WHO kuhusu corona" hivi hapo kampeni ya chanjo iko wapi? Binafsi nakubaliana sana na misimamo ya mwendazake kuhusu corona na infact (kwa mtazamo wangu ) Mwendazake aliwa outsmart sana WHO na mashirika mengine but kuhusu Mbowe hapo umemsingizia, hakupigia chapuo chanjo, kazungumza alichofanyiwa au alikifanya yeye kama Freeman
 
Andishi lako LIMEKAA KISIASA ZAIDI, unamchukia MBOWE mwozeshe basi hata dada yako
 
Hata baadhi ya dawa za maleria au nyingine zina madhara kwa baadhi ya watu hata kiasi cha kusababisha vifo.
Ndio maana serikali ipo makini haitaki makosa hayo yajirudie tena, hizi chanjo lazima wao serikali walidhike nazo kwanza ilo halizuiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…