Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

Mwendazake aliwajaza ujinga wengi na wakadhani ataishi milele na ni wa kuabudiwa - wakasahau kwamba wa kuabudiwa ni MMOJA tu aliyeko juu !! kwisha habari !!
 
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)

Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema ****, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.

Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.

Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)

Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.

Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.

Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Sukuma gang, zama zenu zimeisha
 
Masikio ni kitu cha ajabu sana; nimemsikiliza Mbowe jana usiku through youtube, sina kumbukumbu kama nimemsikia akipigia kampeni CHANJO, nimemsikia akisema hivi, "mimi nimechanjwa, huko niliko kua chanjo ni lazima" akamaliza kwakusema, "tumekua kituko duniani kwa kuacha miongozo ya WHO kuhusu corona" hivi hapo kampeni ya chanjo iko wapi? Binafsi nakubaliana sana na misimamo ya mwendazake kuhusu corona na infact (kwa mtazamo wangu ) Mwendazake aliwa outsmart sana WHO na mashirika mengine but kuhusu Mbowe hapo umemsingizia, hakupigia chapuo chanjo, kazungumza alichofanyiwa au alikifanya yeye kama Freeman
 
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)

Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema ****, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.

Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.

Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)

Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.

Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.

Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Andishi lako LIMEKAA KISIASA ZAIDI, unamchukia MBOWE mwozeshe basi hata dada yako
 
Hata baadhi ya dawa za maleria au nyingine zina madhara kwa baadhi ya watu hata kiasi cha kusababisha vifo.
Ndio maana serikali ipo makini haitaki makosa hayo yajirudie tena, hizi chanjo lazima wao serikali walidhike nazo kwanza ilo halizuiliki
 
Back
Top Bottom