Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Fanton Mahal

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
1,597
Reaction score
4,661
wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
 
MLIMANI CITY kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana, ukiwahi itakuwa vyema maana kunakuwaga na foleni sio ya nchi hii
Ahsante kwa taarifa mkuu, ilitakiwa wawe na huu utaratibu kutusaidia hiz huduma muhimu sana na dharura huwa zinatujia tu pasipo taarifa
 
MLIMANI CITY kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana, ukiwahi itakuwa vyema maana kunakuwaga na foleni sio ya nchi hii
Kama kunakuaga na foleni, kwa nini hao crdb wasiitumie hiyo fursa kuwa wanafungua na branch nyingine moja iliyo karibu na maeneo hayo?

Maana kama kuna foleni mpaka kunafurika, fungua na branch nyingine iliyo karibu.
 
Back
Top Bottom