Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Kazi nayo fanya haina mapumziko kabisa...watu wanataka dawa/ kuumwa daily so ni ngumu kupumzika nazungumza Kama mdau wa afya mwandamizi senior.
Mnatakiwa muwe wawili, angalau kuwepo na 'shift'; kufanya kazi zaidi ya masaa 8, hapo hakuna ufanisi, bali tunafanya kimazoea tu; mwili wa binadamu sio mtambo ndio maana kawekewa masaa maalumu; ata mtambo ukipata moto huwa unapumzishwa.​
 
Hope hao wafanyakazi wanapata mapumziko jumatatu maana kufanya kazi mfululizo inachosha sana
 
Back
Top Bottom