Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #61
Ee bwana efh..noma.acha nipunguzeMuda si mrefu, utakuwa na tatizo la magonjwa ya akili kwa sababu unauchosha sana ubongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ee bwana efh..noma.acha nipunguzeMuda si mrefu, utakuwa na tatizo la magonjwa ya akili kwa sababu unauchosha sana ubongo.
Duniani kote watu wanafanya kazi muda wote; baadhi ya biashara wanafanya kwa shift. Ni uvivu wetu tu; Japan watu wanafanya kazi hadi saa 18 mtu mmoja, bongo tuna uvivu mwingi sanaHuduma kuwepo jumatatu mpaka jumapili ni kuwachosha wafanyakazi.
Nili apply for internet banking kwakua itjis not a personal account..ila ilinisumbua sana nikaachana nayoPamoja na ushauri wa kutosha kutoka kwa wadau, nakushauri ujiunge na Simbanking. Pakua App yao ... et voila!!
AhsanteMlimani City, Ila Next time ukitaka Kujua kama izo ofisi zipo wazi wewe search Google tu utapata Info kuanzia siku wanazofungua Na Masaa pia
Unafanya kazi zaidi ya masaa 18 ili iweje? ili uishi miaka 200 au?Duniani kote watu wanafanya kazi muda wote; baadhi ya biashara wanafanya kwa shift. Ni uvivu wetu tu; Japan watu wanafanya kazi hadi saa 18 mtu mmoja, bongo tuna uvivu mwingi sana
Mtazamo wa maisha upo tofauti kati ya nchi na nchi lakini pia kati ya mtu na mtu. Kama umejitosheleza, hakuna shida ndugu. Endelea tu kufanya kazi hata masaa 2 kwa siku, yote maisha. Nchi zote zilizo endelea, watu wanapiga kazi masaa mengi. Kuna nchi hadi zinalazimisha watu wapumzike ili walau wapate muda wa kuzaa, Japan being one of them, Indonesia, Malaysia as well.Unafanya kazi zaidi ya masaa 18 ili iweje? ili uishi miaka 200 au?
Mtazamo wa maisha upo tofauti kati ya nchi na nchi lakini pia kati ya mtu na mtu. Kama umejitosheleza, hakuna shida ndugu. Endelea tu kufanya kazi hata masaa 2 kwa siku, yote maisha. Nchi zote zilizo endelea, watu wanapiga kazi masaa mengi. Kuna nchi hadi zinalazimisha watu wapumzike ili walau wapate muda wa kuzaa, Japan being one of them, Indonesia, Malaysia as well.
Naandika mara ya mwisho, sitarudia tena. Taja nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na watu wake wanafanya kazi saa chache, taja any in this world. Sheria za kazi Tanzania kwa wiki hutakiwi kufanya over 45 hours, Ujerumani nadhani ni saa 38 kwa wiki, kinacho tokea sasa, kwasababu ya ugumu wa maisha, mtu mmoja anaweza kua na ajira sehemu 2 au tatu; kwa bongo nadhani watu wa afya wapo kwenye mazingira hayo. Daktari anafanya kazi Muhimbuli but huyo huyo anapiga kazi Agha Khan na Hindu Mandal; ulaya hi ni kada nyingi tu.Kila kitu kinatakiwa kiwe na ''standard'' kufanya kazi masaa mengi haimaanishi kuwa unafanya kazi kwa weledi, bali inakuwa ni bora liende.
Ndio maana ubongo wa binadamu una uwezo wa 2.5 milioni GB, kuuzidishia majukumu ni kuuchosha mwili na kujiwekea mazingira ya kuchukia kazi.
Na hii ndio sababu kuu, inawafanya watu wengi wa mijini wasiwe na furaha, muda wote ni misongo ya mawazo tu.
Binafsi toka ujio wa hiii simbanking sikumbuki ni lini nilipanga foleni benkiUmenichekesha, eti ilo branch liliwaokoa na Deadline. Binafsi siku za nyuma kutokana na mm kukosa nafasi siku za kazi hadi jmosi, nilikuwa nalazimika kwenda Pale MlimaCity Ku clear ada za Madogo.
Ilikuwa ikinifaa sana. Ila sahivi, shughuli zote namaliza kwenye Simbanking. Heko Simbanking.
Inaonekana branch nying hazifanyi kazi j2 zaid ya mlimani city, nimepita kadhaa kama walivyosema wadau ila empty..Pale TPA one stop centre, wamegoma kufungua Jumapili. Wakati bank nyingine wanafungua mpaka Jumapili na wanafanya kazi masaa 24.
Na Kariakoo pia km sikoseiMlimani city
Kuna Benki hapo TPA one stop centre zina fanya kazi 24hrs na siku zote 7 za wiki. Wamerahisisha huduma za malipo kwa wanaotoa mizigo na kuagizaInaonekana branch nying hazifanyi kazi j2 zaid ya mlimani city, nimepita kadhaa kama walivyosema wadau ila empty..
Kwa Dar nenda mlimani city mwisho saa sitawakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Nimeshatoka hapo, aisee nyomi la kufa mtu. Ila jamaa wako fasta sana ,tellers zote zina watu.Kwa Dar nenda mlimani city mwisho saa sita
Nilikwwnda M.cityNenda Holland