Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Pamoja na ushauri wa kutosha kutoka kwa wadau, nakushauri ujiunge na Simbanking. Pakua App yao ... et voila!!
Nili apply for internet banking kwakua itjis not a personal account..ila ilinisumbua sana nikaachana nayo
 
Duniani kote watu wanafanya kazi muda wote; baadhi ya biashara wanafanya kwa shift. Ni uvivu wetu tu; Japan watu wanafanya kazi hadi saa 18 mtu mmoja, bongo tuna uvivu mwingi sana
Unafanya kazi zaidi ya masaa 18 ili iweje? ili uishi miaka 200 au?
 
Unafanya kazi zaidi ya masaa 18 ili iweje? ili uishi miaka 200 au?
Mtazamo wa maisha upo tofauti kati ya nchi na nchi lakini pia kati ya mtu na mtu. Kama umejitosheleza, hakuna shida ndugu. Endelea tu kufanya kazi hata masaa 2 kwa siku, yote maisha. Nchi zote zilizo endelea, watu wanapiga kazi masaa mengi. Kuna nchi hadi zinalazimisha watu wapumzike ili walau wapate muda wa kuzaa, Japan being one of them, Indonesia, Malaysia as well.
 
Kila kitu kinatakiwa kiwe na ''standard'' kufanya kazi masaa mengi haimaanishi kuwa unafanya kazi kwa weledi, bali inakuwa ni bora liende.

Ndio maana ubongo wa binadamu una uwezo wa 2.5 milioni GB, kuuzidishia majukumu ni kuuchosha mwili na kujiwekea mazingira ya kuchukia kazi.

Na hii ndio sababu kuu, inawafanya watu wengi wa mijini wasiwe na furaha, muda wote ni misongo ya mawazo tu.​
 
Naandika mara ya mwisho, sitarudia tena. Taja nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na watu wake wanafanya kazi saa chache, taja any in this world. Sheria za kazi Tanzania kwa wiki hutakiwi kufanya over 45 hours, Ujerumani nadhani ni saa 38 kwa wiki, kinacho tokea sasa, kwasababu ya ugumu wa maisha, mtu mmoja anaweza kua na ajira sehemu 2 au tatu; kwa bongo nadhani watu wa afya wapo kwenye mazingira hayo. Daktari anafanya kazi Muhimbuli but huyo huyo anapiga kazi Agha Khan na Hindu Mandal; ulaya hi ni kada nyingi tu.
 
Umenichekesha, eti ilo branch liliwaokoa na Deadline. Binafsi siku za nyuma kutokana na mm kukosa nafasi siku za kazi hadi jmosi, nilikuwa nalazimika kwenda Pale MlimaCity Ku clear ada za Madogo.

Ilikuwa ikinifaa sana. Ila sahivi, shughuli zote namaliza kwenye Simbanking. Heko Simbanking.
Binafsi toka ujio wa hiii simbanking sikumbuki ni lini nilipanga foleni benki
 
Branch kama Tandika na Mbagala kama mdau mmoja alivyosema huko juu, hizi HAZIFANYI KAZI JUMAPILI. Nimepita huko asubuh hii
 
Mlimani City ni kweli, CRDB na NMB pia wako operational. Sema bado dakika 15 kufungua maana wanaanza saa 4 asubuh. FOLENI NI KUBWA SANAAAA niko hapa
 
Pale TPA one stop centre, wamegoma kufungua Jumapili. Wakati bank nyingine wanafungua mpaka Jumapili na wanafanya kazi masaa 24.
 
Inaonekana branch nying hazifanyi kazi j2 zaid ya mlimani city, nimepita kadhaa kama walivyosema wadau ila empty..
Kuna Benki hapo TPA one stop centre zina fanya kazi 24hrs na siku zote 7 za wiki. Wamerahisisha huduma za malipo kwa wanaotoa mizigo na kuagiza
 
Back
Top Bottom