Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

Hope hao wafanyakazi wanapata mapumziko jumatatu maana kufanya kazi mfululizo inachosha sana
Kikubwa pesa madam. Mnona kuna watu tunafanya kazi mwanzo mwisha hatuna day off na tunapiga mzigo mzito sio kama hizo desk jobs
 
Mnatakiwa muwe wawili, angalau kuwepo na 'shift'; kufanya kazi zaidi ya masaa 8, hapo hakuna ufanisi, bali tunafanya kimazoea tu; mwili wa binadamu sio mtambo ndio maana kawekewa masaa maalumu; ata mtambo ukipata moto huwa unapumzishwa.​
Mimi kuna time nafanya kaz mpaka 30 hrs nonstop, no kulala
 
Huduma kuwepo jumatatu mpaka jumapili ni kuwachosha wafanyakazi.
Hawalazimishwi, kuna maokoto special kwa wanaokwendaa na ku sign, sio chini ya 60K kwa kuingia kazini hiyo siku(J2). Hivyo basi, wewe mwenyewe utaamua kama unapumzika au njaa zako na madeni dukani kwa Mangi yaataamua uende au ulale nyumbani kupumzika.

Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.
 
Kuna kazi zinakufanya uwe busy balaa...
 
wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Tuwasiliane pembeni ili kesho nikupeleke, you are a friendly gentleman and I am willing to serve you my lord.
 
Hasa sie ambao tumejiajiri, day off ni za kuvizia sanaaaabina

Kuna kipindi ilo branch lilituokoaga na deadline
Umenichekesha, eti ilo branch liliwaokoa na Deadline. Binafsi siku za nyuma kutokana na mm kukosa nafasi siku za kazi hadi jmosi, nilikuwa nalazimika kwenda Pale MlimaCity Ku clear ada za Madogo.

Ilikuwa ikinifaa sana. Ila sahivi, shughuli zote namaliza kwenye Simbanking. Heko Simbanking.
 
Hawalazimishwi, kuna maokoto special kwa wanaokwendaa na ku sign, sio chini ya 60K kwa kuingia kazini hiyo siku(J2). Hivyo basi, wewe mwenyewe utaamua kama unapumzika au njaa zako na madeni dukani kwa Mangi yaataamua uende au ulale nyumbani kupumzika.

Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.
Ukikubali kuwa mtumwa wa hela, utautesa sana mwili. Mtu anayehusika na rasilimali watu, anatakiwa ajue binadamu sio mitambo, kiafya wanatakiwa wapumzike, ndio maana sehemu zingine kuna kuwa na 'shift'​
 
Pamoja na ushauri wa kutosha kutoka kwa wadau, nakushauri ujiunge na Simbanking. Pakua App yao ... et voila!!
 
Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.
Kaburini ni udongo tu ndio unabaki. Binadamu ni roho. Mara kifo kinapotokea roho ambayo inafanya tuitwe binadamu hutoka na kwenda kuanza maisha mapya mahali pengine- Ambapo ni ama Mbinguni ama Jehanamu. Huko kwenye makao mapya huvikwa miili mipya. Wale wa mbinguni hupewa miili ya utukufu na kule kuzimu roho huvishwa mwili wa Jehanamu.
Tumwombe Mungu katika jina la Yesu Kristo atusaidie kutii amri na maagizo yake ili siku tukifa basi roho zetu zikapate makao yake mapya mbinguni huku zikivishwa miili mipya yenye utukufu.
 
Back
Top Bottom