Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Aisee, shukrani.Mlimani city
Ahsante kwa taarifa mkuu, ilitakiwa wawe na huu utaratibu kutusaidia hiz huduma muhimu sana na dharura huwa zinatujia tu pasipo taarifaMLIMANI CITY kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana, ukiwahi itakuwa vyema maana kunakuwaga na foleni sio ya nchi hii
Kama kunakuaga na foleni, kwa nini hao crdb wasiitumie hiyo fursa kuwa wanafungua na branch nyingine moja iliyo karibu na maeneo hayo?MLIMANI CITY kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana, ukiwahi itakuwa vyema maana kunakuwaga na foleni sio ya nchi hii
Mlimani city.wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Mlimani Citywakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Shukran kamandaMlimani city.
Hii vijana branch iko wap mkuu??Mlimani City
Vijana Br.
Oysterbay Br.
Tegeta Br.
Mlimaniwakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Ahsante sanaMlimani city crdb na nmb wapi live.
Nahisi na quality plaza pia ila Sina uhakika na pale quality plaza ila mlimani uhakika ni kwa miaka mingi Sasa.
Kesho tawi hilo ni mwendo wa supu na supu na gusa chapatilumumba pia wanakuwa wazi kama mlimani city kwa siku za jumapili.
Holland wana operate sundays???Holland branch pale mjini