Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
-
- #41
Kikubwa pesa madam. Mnona kuna watu tunafanya kazi mwanzo mwisha hatuna day off na tunapiga mzigo mzito sio kama hizo desk jobsHope hao wafanyakazi wanapata mapumziko jumatatu maana kufanya kazi mfululizo inachosha sana
Mimi kuna time nafanya kaz mpaka 30 hrs nonstop, no kulalaMnatakiwa muwe wawili, angalau kuwepo na 'shift'; kufanya kazi zaidi ya masaa 8, hapo hakuna ufanisi, bali tunafanya kimazoea tu; mwili wa binadamu sio mtambo ndio maana kawekewa masaa maalumu; ata mtambo ukipata moto huwa unapumzishwa.
Hasa sie ambao tumejiajiri, day off ni za kuvizia sanaaaaKazi nayo fanya haina mapumziko kabisa...watu wanataka dawa/ kuumwa daily so ni ngumu kupumzika nazungumza Kama mdau wa afya mwandamizi senior.
Sure, financial freedom ni muhim sanaaNi sahihi, muhimu tusikubali kuwa watumwa wa pesa
Hawalazimishwi, kuna maokoto special kwa wanaokwendaa na ku sign, sio chini ya 60K kwa kuingia kazini hiyo siku(J2). Hivyo basi, wewe mwenyewe utaamua kama unapumzika au njaa zako na madeni dukani kwa Mangi yaataamua uende au ulale nyumbani kupumzika.Huduma kuwepo jumatatu mpaka jumapili ni kuwachosha wafanyakazi.
Nimepanga ku retire mapema let suffer today...kwa kesho Bora.Mnatakiwa muwe wawili, angalau kuwepo na 'shift'; kufanya kazi zaidi ya masaa 8, hapo hakuna ufanisi, bali tunafanya kimazoea tu; mwili wa binadamu sio mtambo ndio maana kawekewa masaa maalumu; ata mtambo ukipata moto huwa unapumzishwa.
Kuna kazi zinakufanya uwe busy balaa...Hawalazimishwi, kuna maokoto special kwa wanaokwendaa na ku sign, sio chini ya 60K kwa kuingia kazini hiyo siku(J2). Hivyo basi, wewe mwenyewe utaamua kama unapumzika au njaa zako na madeni dukani kwa Mangi yaataamua uende au ulale nyumbani kupumzika.
Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.
Sana sanaaaHasa sie ambao tumejiajiri, day off ni za kuvizia sanaaaa
Tuwasiliane pembeni ili kesho nikupeleke, you are a friendly gentleman and I am willing to serve you my lord.wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Hasa sie ambao tumejiajiri, day off ni za kuvizia sanaaaabina
Umenichekesha, eti ilo branch liliwaokoa na Deadline. Binafsi siku za nyuma kutokana na mm kukosa nafasi siku za kazi hadi jmosi, nilikuwa nalazimika kwenda Pale MlimaCity Ku clear ada za Madogo.Kuna kipindi ilo branch lilituokoaga na deadline
Gracias el muchoTuwasiliane pembeni ili kesho nikupeleke, you are a friendly gentleman and I am willing to serve you my lord.
I trust you, you too trust me my lord.Gracias el mucho
ChaliJaribu tawi la gusa achia, turudi ligi kuu
Hawalazimishwi, kuna maokoto special kwa wanaokwendaa na ku sign, sio chini ya 60K kwa kuingia kazini hiyo siku(J2). Hivyo basi, wewe mwenyewe utaamua kama unapumzika au njaa zako na madeni dukani kwa Mangi yaataamua uende au ulale nyumbani kupumzika.
Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.
Ahakikishe saa tatu asubuhi awe yupo eneo la tukio.MLIMANI CITY kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana, ukiwahi itakuwa vyema maana kunakuwaga na foleni sio ya nchi hii
Muda si mrefu, utakuwa na tatizo la magonjwa ya akili kwa sababu unauchosha sana ubongo.Mimi kuna time nafanya kaz mpaka 30 hrs nonstop, no kulala
Kaburini ni udongo tu ndio unabaki. Binadamu ni roho. Mara kifo kinapotokea roho ambayo inafanya tuitwe binadamu hutoka na kwenda kuanza maisha mapya mahali pengine- Ambapo ni ama Mbinguni ama Jehanamu. Huko kwenye makao mapya huvikwa miili mipya. Wale wa mbinguni hupewa miili ya utukufu na kule kuzimu roho huvishwa mwili wa Jehanamu.Zingatia Maokoto. Kupumzika Mbona kaburini utapumzika vya kutosha hadi utatamani ukae au upige magoti kwa kuchoka kulala!.