uko sahihi,Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno.
Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia nitakuja kuweka mifano
Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno.
Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia nitakuja kuweka mifano
Hao vijana watakaovushwa na CCM wameshazaliwa au bado au ndio hawa hawa ambao hawana ajira au tunazungumzia vijana Gani?hebu fafanua vzr ili great thinkers wakuelewe humu.Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno.
Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia nitakuja kuweka mifano