Mifano ipo ukitaka uione hapa ,utaipata tena ya kutosha.Mkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
Nimekuuliza umeshapata cha mchana? Huijui kesho yako hapo ulipo mamako ndio anailisha familia nzima dingi hata haeleweki sijui unapata wapi nguvu ya kuandika utumbo huu! Tafuta kazi kwanza muda haukusubiriNile nini? Weka hoja yenye uzito sio kuuliza swali hasi.
Mkuu uchaguzi ni huru. Vyama vya siasa vinashiriki kila wakati. Angalia hii orodha ya vyama katika uchaguzi huko Konde Pemba.Chama imara hakiogopi uchaguzi huru na haki wewe!!! Hakiogopi katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Chama imara hakifugi majizi, mafisadi, wahuni na wauaji. Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
CCM inabakia madaraka kutokana na utendaji wake wenye kuvutia na ambao watanzania wanaona na wanaamini kuwa CCM inaweza.Kama hospitali zinafanya mtu kubaki madarakani, basi makaburu wa Afrika kusini wangekuwa madarakani mpaka leo. Miaka 60 mko madarakani hajafanya hayo mambo leo ndio mnajifanya mtayaweza?
Mkuu uchaguzi ni huru. Vyama vya siasa vinashiriki kila wakati. Angalia hii orodha ya vyama katika uchaguzi huko Konde Pemba.
View attachment 1859704
Rejea kesi ya kutaka MaDed wasisimamie uchaguzi.Mkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
Hauna akili wewe ama mgeni hapa Duniani. RC na DC hawafanyi kazi za CCMMkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
CCM inabakia madaraka kutokana na utendaji wake wenye kuvutia na ambao watanzania wanaona na wanaamini kuwa CCM inaweza.
Ajenda za vyama vya upinzani zimekuwa ni za kurukaruka tu. Hawana uelekeo juu ya kile wanachokiamini.
Nimeangalia hii Id yako, nimekuta ww ni wale wajinga waliosukumiwa mwaka jana humu ndani, baada ya ule uchaguzi wa kishenzi. Huna lolote ujualo zaidi ya kuongea utoto humu jukwaani na kuleta siasa mfu.Hii ni dhahania tu ya wanafiki wamekuwa wanasema baada ya kushindwa uchaguzi.
Kwa mujibu wako. CHADEMA wameshashindwa mapema. Hauhitaji miwani kuona.Mawazo na kauli ya ukemwenza. NI uzi wa kipuuzi.
Changamoto ndoto katika reply za JF.Maandishi yako haya yanapingana na hali halisi uijuayo,ndio maana maandishi yakagoma kuandikika hapo mwanzoni.
Kujiunga mwaka jana sio hoja ya msingi. Na wala sijaletwa na mtu JF.Nimeangalia hii Id yako, nimekuta ww ni wale wajinga waliosukumiwa mwaka jana humu ndani, baada ya ule uchaguzi wa kishenzi. Huna lolote ujualo zaidi ya kuongea utoto humu jukwaani na kuleta siasa mfu.
Mkuu hili suala la uchaguzi wamekuwa wakijificha hapo na nyinyi wafuasi pia; sio kwa Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla.Yaani kwa umasikini huu ndio wananchi wanaona ccm inaweza? Msingepora chaguzi waingie wengine ndio ungejua ni kwa kiwango gani mmechelewesha nchi hii.
Kila binadamu anatakiwa kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake. Mdude CHADEMA alitukana na kuonywa lakini hakuna anayezuia kukosoa.Kawaida uonevu unapozidi jiandae kwa lolote,kunyamnyamazisha anaeonewa ni bora ukaongeza nguvu kwenye kumwonea ,ila sii kumdhihaki.
Kujiunga mwaka jana sio hoja ya msingi. Na wala sijaletwa na mtu JF.
Pinga kwa hoja, nimewasilisha taarifa kama ambavyo CHADEMA walijisifu na kupewa majibu.
Mkuu zile ni mali za CCM tangu TANU na ASP.TEHAMA ya CCM ni wizi na kudhulumu mali. Wameiba viwanja vyote vya michezo.
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ila ww kwakuwa umemezeshwa upuuzi ili watoto wako waende choo, ndio unatapika huu ujinga hapa.Mkuu hili suala la uchaguzi wamekuwa wakijificha hapo na nyinyi wafuasi pia; sio kwa Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla.
Andaeni ajenda msiwe wepesi wa kulaumu wakati kazi hamfanyi.
Nihukumu na kunipinga kwa hoja.Peleka utoto mbali we dogo.