Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

je, kuna uwezekano ukasex na ndemu aliyeathirika Mara ukatoka salama
 

Attachments

  • IMG_20171002_121800.jpg
    65.6 KB · Views: 84
Ndiyo huyohuyo,au humtaki kwa kuwa ni mke wa mtu? Dada mchakarikaji sana huyu. Hakai kibarazani kusafisha kucha na kubweteka na utajiri wa mimewe.
Inaonyesha wengi hatujaelewa thread! Soma tena unless unamjua huyo mchakarikaji juzi haujui ametokea wapi
 
nimependa hapo baada ya atleast......................................
 
Funguka mkuu kidogo buanaaa
hahahaa ni honge.......hamna unajua bwana kila mtu ana weakness yake
She's bright since she was at loyolites
I used to have the same fallacy........Yaani ni smart kwa vile amesoma Loyola??? does it make sense kweli, kwa hiyo waliosoma shule nyingine ni mambumbu sio?.......ni sawa na kusema waliosoma shule za vipaji maalum kama vile Ilboru, Kibaha, Kilakala etc wanaakili kuliko shule nyingine is that the case? wakati wa matokeo shule hizo tu ndo walikuwa wanapata Division one wengine zero? Performance ya wanafunzi inategemea vitu vingi sana.
Cha pili lazima uelewe kuna tofauti kati ya academic performance na how to handle life. Hakuna guarantee kwamba ukifaulu darasani utafaulu maisha. Kwamba kwa vile Jokate alipata Division One form six basi atafanikiwa kimaisha hakuna kitu kama icho maisha yanaishu nyingi kama ilivyo kuperfom darasani sijui kama umenielewa. Hii inafanana na ile notion kwamba wote waliosoma Law watafanikiwa kimaisha ila waliosoma Education wao kufeli maisha ndo walicho andikiwa, wakati si kweli kwamba malawyer wote ni successful na walimu wote ni failures wakati si kweli kufaulu maisha kwa mtu hapawi determine TU na alichosoma, alikotoka anachojua na kadhalika ingawa vinaweza kumsaidia pia. Yaani wa kati mwingine amesoma law amepatia maisha kuna mwingine kasoma law ile ile na kafeli maisha.......
 
What I meant mkuu nlischool nae le loyola she was a prefect and among the brightest students I ever met back at times. She was confident and had a leadership charisma
 
Hizo si nyumba za kulala wageni?Ok nishaelewa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Born and raised in Tanzania, Herieth Paul is one of the dark skinned models who are doing well in the fashion world today. As a model she has been to almost all major fashion weeks including New York, Parisand London fashion weeks.
 
Born and raised in Tanzania, Herieth Paul is one of the dark skinned models who are doing well in the fashion world today. As a model she has been to almost all major fashion weeks including New York, Parisand London fashion weeks.
Asante, sijawahi kumsikia huyu binti
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Jokate
Ndo mana hadi kaaminika na Serikali ya Mh JPM kuwa Mkuu wa Wilaya

Jokate ni mfano bora wa kuigwa
Beauty with brains
 
Faraja Nyalandu pia namuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…